Ni nani anatakiwa kumpigia simu/sms mwenzake?

Heeee ulijuaje? umenigusa! Inauma sana mwanaume hataki mawasiliano na wewe anadai eti yuko busy. Tena kina dada mkitaka kujua mwanaume hakuitaji tena au keshapata mwingine ndio utaöna hata wiki nzima kimya ukimpigia wewe anadai nilikuwa busy, hivi kutuma msg hello dear inakucost muda kiasi gani?
Kwani mapenzi ni ubabe jamani? Unakuta mpenzi wako anajitahidi kukujulia hali kila siku kila wakati wewe unadai uko busy sana jamani hayo sio mapenzi ni manyanyaso ukio mwanaume anajidai kwani lazima yeye apige jua keshakuchoka huyo au kashapata wakumkip busy mimi naachana naendelea na maisha yangu akimchoka huyo mwingine atadai yuko
busy tena, wanaume ni wanyanyasaji wakubwa sana kwenye mapenzi wakishajijua wamendwa mimi simshauri binti yeyote kumn'gan'gania mwanaume asiye na mawasiliano naye ya karibu kisa anadai yuko busy.
Kama una mwanamke unayetegemea atakuelewa kwa tatizo hilo basi huyo haitaji mapenzi yako anajua anachokiitaji kwako kaka, ila anaekupenda kweli lazama
achachamae kaka









































0
 
Back
Top Bottom