Ni nani anatakiwa kumpigia simu/sms mwenzake?

leo napiga kesho apige yye,mambo ya mi kua napiga simu daily siyawezi...............
 
Vocha/credit/dola/salio/ankara/air tym!!! Tatizo niwezeshe nikupigie c unajua vocha zinauzwa!!co unabwabwaja tu!!!
 
mapenzi bila ya mawasiliano sio mapenzi.wakaka mjue kupenda,huwasiliani na mwenzio,ina maana hayupo kwenye mawazo yako.mkiambiawa hamjui kupenda,mnalalamika.kumpa mwenzio attention ni vizuri,hata kama ana shida akiwasiliana na anae mpenda anajisikia faraja fulani.ila wote mkikaa kimya,taratibu mapenzi hufa

Nadhani hapa ndio tunapotofautiana sana na nyie viumbe. Hivi simu si ni chombo tu mawasiliano mnaongea pale tu inapobidi ina maana mkiwa nyumbani wote mnaongea mfululizo siku nzima kama kasuku? Nyie ndio wale ambo mkikuta mtu kakaa kimya unaanza yale maswali ya kwanini uko kimya au umekasirika.
 
inategemea mawasiliano yenu yakoje mkiwa pamoja?? mfano wewe na mwenzi wako mkiwa home hamwezi kuongea (hamna mawasiliano) je hizo cmu mtawasiliana nini???? au ni za kuulizana uko wapi???
 
Nadhani hapa ndio tunapotofautiana sana na nyie viumbe. Hivi simu si ni chombo tu mawasiliano mnaongea pale tu inapobidi ina maana mkiwa nyumbani wote mnaongea mfululizo siku nzima kama kasuku? Nyie ndio wale ambo mkikuta mtu kakaa kimya unaanza yale maswali ya kwanini uko kimya au umekasirika.
kama mnaishi pamoja ni tofauti,lakini kama hamuishi pamoja mawasiliano muhimu.tena ya kila siku
 
hee jamani nilikuwa naomboleza ban yako imeisha?
we acha tu mpenzi wangu, nilichapwa ban la siku tano kwa makosa, lakini hata hivo nilipowajulisha mamods walistuka wakanifungulia kifungoni, kwao ilikuwa bahati mbaya, siujajua tena mi huwa situkani hovyohovyo?

by the way, kwa nini hata hukunipigia simu au kuntumia e.mail kuonyesha sympathy?:embarrassed:
 
<3 <3 Wanawake huwa wanapenda tuwatunze kama malkia..hiyo ni hali tu ya kawaida. Lakini sometime inaboa. Mapenzi ni 'kupendana' sio 'kupendwa'. <3 <3
 
we acha tu mpenzi wangu, nilichapwa ban la siku tano kwa makosa, lakini hata hivo nilipowajulisha mamods walistuka wakanifungulia kifungoni, kwao ilikuwa bahati mbaya, siujajua tena mi huwa situkani hovyohovyo?

By the way, kwa nini hata hukunipigia simu au kuntumia e.mail kuonyesha sympathy?:embarrassed:
nawewe yale maneno uliandikiwa au? Sio fresh bwana
 
kwakweli ina boa ila co kwa wadada 2,.. nina evidence kabisa mkaka analalamika why uko kimya? nilishangaa kwan hata yy anpaswa kuanza,.. bado watu hawana uelewa wa mapenz ni nn?
 
Mie pia ni mtu wa sms sana napenda sana, inapotokea zikianza kupungua huwa nakosa raha
 
mi nathan yeyote kati yenu anaweza pga pale anapohisi kummis mwenzake bila ya kuanza kujiuliza unaanzaga au la,!ka ipo ipo 2 na ka haipo haipoo!kuna wakati mwingne nko bize au nimerithika na jins 2livyozungumza juz,so haina haja kwangu kila cku kumchek ka cna la kusema manake unaweza boa sa ingne kupga pga 2,hvyo n kujiamin 2,na mwenzako ka ana tabia za kulalama cna mwambie na umfundishe huo ndo upendo
 
Wajua sie wanawake tumezaliwa na kitu flan hivi yan tunapenda kudeka hvo mwanaume ndo awe anajitaid kubembeleza sasa kama mwanaume anakaza nae inakuwa tabu yan nianze kumbembeleza mwamaume mhhh. Ndo mana wanawake tunawapa wanaume wanao jua wajibu wao awe mpaka rangi, konda,dereva boda boda, mkaanga chips ilimradi anajali. Unakuta bf wako hapig sim kutwa nzima lakin mkaanga chips anakukumbuka kila mda anapiga lazima utampa.
 
Back
Top Bottom