Ni nani anatakiwa kumpigia simu/sms mwenzake?

Going Concern

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,072
1,211
Hii kitu inaboa sana, utaskia, mbona leo umekua kimya sana? I hate that, mi navyojua kwenye mapenzi anayemkumbuka mwenzie ndo anatakiwa kum call no mata how many times...!! Hii tabia wanayo sana girls,

dah.......wanawake wanapend mno kupigiwa simu
ukiwa mvivu kwa hilo ni issue....not that i am that good either..lol

kwani kabla ya simu mapenzi sii yalikuwepo jamanii.....unajua hapa inabidi tuu wanawake waelewe kuwa sio lazima jamaa akupigie simu maana sasa hiyo imekuwa kzi sasa....kweli atakapo kumiso anaweza panda hewani...but lets leave fone calls for emergencies!!!

Binafsi nakwazwa sana na swali la namna hii ''mbona hujanipigia simu ?''
means uyo mwenziwako anakutumia tu kwa ajili ya kumfurahisha hata kama hujickii kumpigia cm labda una jambo limekutatanisha na hutaki kushare na mtu hilo jambo,hivyo ukawa frastreted ,
bado unalazimika umpigie na mara nyingi hawa watu huwa wanapenda kuckia mambo mazuri ,
cpendi, huu n ulimbukeni na mapenzi ya dhati hayako kiudanganyifu kiac hicho!

Wote mnapaswa kufanya hiyo initiative na sio mmoja kumtegea mwenzake au kumfanya mwenzake ndio kila saa na kila siku awe anapiga yeye na kutuma SMS yeye

kwani kabla ya simu mapenzi sii yalikuwepo jamanii.....unajua hapa inabidi tuu wanawake waelewe kuwa sio lazima jamaa akupigie simu maana sasa hiyo imekuwa kzi sasa....kweli atakapo kumiso anaweza panda hewani...but lets leave fone calls for emergencies!!!

ingekuwa phone calls are for emergencies nadhani simu zingetengenezwa na namba 911 pekee. Hizo digits nyingine zimewekwa ili upigeee kijana simu ni kwa mawasiliano....HELLO!

ingekuwa phone calls are for emergencies nadhani simu zingetengenezwa na namba 911 pekee. Hizo digits nyingine zimewekwa ili upigeee kijana simu ni kwa mawasiliano....HELLO!
kwani emergency ni hadi iwe 911?

yaani siku nzima asinipigie kabisaaa.....aisee sitamuelewa. mapenzi ya wapi hayo! kama naumwa je! its just natural inapendeza mwanaume akianza.... NO HARD FEELINGS GUYS!

Mbona mnawashambulia sana wanawake? sithan kama ndio wenye hilo tatizo tu, hata baadhi ya wanaume wanayo.
Jambo la msingi kama mtu hajakumbuka au hajakupigia, jua nafasi yako katika akili yake sio kubwa kihivo, au yuko Busy na mambo mengine.
Wengine ni mazoea tu, wala hawakumbuki.

Wanaamin kuwa Mwanamme yupo kwa ajili ya kuwa care thats why wanafanya hivyo.

Yaani mimi nisipopigiwa simu siku nzima huwa najikausha na mimi ila kesho yake natangaza ban
Na je ukipigiwa na ukashindwa kujipokea itakuwaje?Mmmmm Bebii mwongo wewe najua kunawakati haupokeii simu je huyo anayekupigia hatajikiaje?Au nawewe utapewa Ban?

Yaani we mwanamke ni Kinyonga balaa!!!!
Kinyonga kivipi?Tupe rangi zake Bebii Kinyonga..

mapenzi bila ya mawasiliano sio mapenzi.wakaka mjue kupenda,huwasiliani na mwenzio,ina maana hayupo kwenye mawazo yako.mkiambiawa hamjui kupenda,mnalalamika.kumpa mwenzio attention ni vizuri,hata kama ana shida akiwasiliana na anae mpenda anajisikia faraja fulani.ila wote mkikaa kimya,taratibu mapenzi hufa

suala la msingi hapa na ambalo mtoa mada anataka juzwa ni kwa nini mnapenda kuanzwa kupigiwa,...anyway mm ni sina simu hivyo wa kwangu kazoea_naweza kaa hata wik hatuja wasiliana

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom