TaiJike
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 1,483
- 666
Ninatumai epsode...itarejea karibuni, kwani muuaji wa Sophie bado hajapatikana. Ktk uchunguzi sijaona kama zile glass mbili zilifanyiwa uchunguzi wa alama za vidole hivyo kuwezesha kujua kama zilitumika kabla ama baada ya mauti ya Sophie, pia ni kwanini Dr. wa uchunguzi achelewe kwa muda wote huo na kusababisha kuidhalilisha maiti?