Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

Ni nani alimuua Marilyn Monroe?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,131
Reaction score
9,683
Wakubwa wa hili jukwaa heshima kwenu,
Katika kuperuzi kwangu mtandaoni nimekutana na mjadala mzito kuhusiana na kifo cha Mrembo maarufu aliyepata kutokea huko Marekani bibie Marilyn Monroe.

Naamini humu kuna wajuvi mbalimbali, naombeni mnijuze ni kipi kilisababisha kifo cha Marilyn Monroe na akina nani waliratibu kifo hiko tata cha mrembo Marilyn Monroe? Karibuni mtupe mawili matatu...
 
Nadhani una jibu lako tayari. Wanadamu tuna asili ya ubishi, ujuaji, uchizi na fitna. Kuhusu kifo chake inategemea ni upande gani unakuvutia au umekuvutia katika kusoma na kusikia kutoka vyanzo mbalimbali.

Drug overdose ndo ripoti ilivyosema ila kama nilivyokwishasema hapo juu kuhusu ujuaji na ubishi, baadhi ya watu wanaamini kaka mtu na mdogo mtu walihusika kufanya/kuratibu mauaji yake.
 
Labda kwa kukusaidia kidogo ni kwamba Marilyn manroe alikuwa anatoka na jf kennedy raisi wa marekani, na piaonroe alifanya makoaa makubwa ya kiufundi kama walivyosema majasusi wa CIA

Baada ya kutembea na fidel castro wakati huo uhusiano was marekani na Cuba ulikuwa mbaya sana kiasi kwamba nusu vizuke vita vya tatu vya dunia kwani urusi walipeleka makombora ya nyuklia ambayo yalikuwa yana uwezo wa kuibafuta Florida na Miami take katika uso wa dunia

ukiondoa hapo cia walishamuonya monroe kwa kuwa na uhusiano na watu matajiri na maarufu wa wakati huo ikashindikana, kwani kiusalama isingekuwa jambo bora kwa raisi wa marekani ku share mapenzi na watu tofauti tofauti wengi wao walikuwa wanajua fika uhusiano was Monroe na jf Kennedy, hivyo majasusi wa CIA walimuua kwa kumwekea sumu. Hivyo alikutwa amekufa, na haya mambo wenyewe cia wali release kwenye intelligence revew report am bazo wanazitoaga kila baada ya muda Fulani na Hugo jasusi aliwahi kikili adharani kama yeye kwa mkono wake alihusika na wakati anakili habari hizi alikuwa keshakuwa mzee was miaka 80 na sina uhakika kama bado yuko hai ni kama miaka mitatu iliyopita.
 
Labda kwa kukusaidia kidogo ni kwamba Marilyn manroe alikuwa anatoka na jf kennedy raisi wa marekani, na piaonroe alifanya makoaa makubwa ya kiufundi kama walivyosema majasusi wa CIA, baada ya kutembea na fidel castro wakati huo uhusiano was marekani na Cuba ulikuwa mbaya sana kiasi kwamba nusu vizuke vita vya tatu vya dunia kwani urusi walipeleka makombora ya nyuklia ambayo yalikuwa yana uwezo wa kuibafuta Florida na Miami take katika uso wa dunia, ukiondoa hapo cia walishamuonya monroe kwa kuwa na uhusiano na watu matajiri na maarufu wa wakati huo ikashindikana, kwani kiusalama isingekuwa jambo bora kwa raisi wa marekani ku share mapenzi na watu tofauti tofauti wengi wao walikuwa wanajua fika uhusiano was Monroe na jf Kennedy, hivyo majasusi wa CIA walimuua kwa kumwekea sumu. Hivyo alikutwa amekufa, na haya mambo wenyewe cia wali release kwenye intelligence revew report am bazo wanazitoaga kila baada ya muda Fulani na Hugo jasusi aliwahi kikili adharani kama yeye kwa mkono wake alihusika na wakati anakili habari hizi alikuwa keshakuwa mzee was miaka 80 na sina uhakika kama bado yuko hai ni kama miaka mitatu iliyopita.
uka sawa na habari alizotoa huyo Jasusi
ila pia alikuwa na siri alizotonywa na Kennedy.
Marilyn Monroe 'murdered by CIA to stop her exposing Roswell UFO truth JFK told to her'
 
Huyo model alikuwa very close na famous and Billionare men wa miaka iyo Ni wana Usalama wa marekani ndio walimuondoa kwa vile tu alikuwa kwenye hidden dating na Jf Kennedy raisi wa 35 walihofia leakage ya siri zao ndio wakaona isiwe shinda, alikufa na 36 yrs old
 
Wakubwa wa hili jukwaa heshima kwenu,
Katika kuperuzi kwangu mtandaoni nimekutana na mjadala mzito kuhusiana na kifo cha Mrembo maarufu aliyepata kutokea huko Marekani bibie Marilyn Monroe.

Naamini humu kuna wajuvi mbalimbali, naombeni mnijuze ni kipi kilisababisha kifo cha Marilyn Monroe na akina nani waliratibu kifo hiko tata cha mrembo Marilyn Monroe? Karibuni mtupe mawili matatu...
Atakuwa aliuawa na watu wasiojulikana, ndugu moja na hawa waliotaka kumuua mwana mwema wetu Lissu!
 
Back
Top Bottom