Ni namna gani naweza kuanza?

Ni namna gani naweza kuanza?

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
2,482
Reaction score
3,340
Wakuu habari, nataka nianze kufanya uzalishaji wa bidhaa fulani (), ni wazo nimekuwa nalo kwa takribani mwaka sasa, kwasababu nilikuwa natafuta taarifa sahihi.

Nataka nianze kwa sasa, ila kuna mambo yananichanganya, mfano hio product kabla sijaanza kusambaza sehemu husika, si ni lazima nipate vibali ? Kuna some amount of money nitatakiwa kutoa, issue inakuja kua ni anze wapi, na makodi kibao kama yote alafu ndio kwanza nimeanza hii itakuaje?

Jambo la pili je nikitaka kushirikiana na partners, naweza ku sign
NON DISCLOSURE AGREEMENT? na wao wasiweze kutumia wazo langu au formula baadae kwasababu, bado hatuaminiani, tunaweza kugeukana baadae.
Je hio NON DISCLOSURE AGREEMENT inaweza wafunga?.
 
Back
Top Bottom