Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,287
- 10,702
Macho yako tu hayoNaona kama mbowe anafanana na nyerere au macho yangu
Macho yako tu hayoNaona kama mbowe anafanana na nyerere au macho yangu
Huyo anayajua ya Abdul skyes tuMohamed Said bingwa wa historia ya maswala ya uhuru, utakapokua na muda, tafadhali tuna kuhitaji huku uje kutupa madini kuhusu hili swala.
Kwa nini hamujitolei nyinyi mukaandika hiyo historia? Mohammed Said yeye ataandika ambayo anayafahamu kabisa na yamemgusa kwenye maisha yake, na nyinyi andikeni za hao ambao maisha yao yamewagusa.mzee wetu mohamed said hana interest ya kuzungumzia wazee wa imani tofauti na ile yetu ambao walisaidiana na nyerere katika harakati za kutafuta uhuru.
yeye hujikita zaidi kuzungumzia mchango wa wazee wake wa kariakoo tu. historia ya hao wazee wengine kutoka uchagani na usukumani, sio focus ya mohamed said.
kwa mantiki hiyo, usitegemee maelezo yoyote positive kutoka kwake yanayohusu familia ya mbowe na uhusiano wao na nyerere katika harakati za kutafuta uhuru.
Sure kabisamzee wetu mohamed said hana interest ya kuzungumzia wazee wa imani tofauti na ile yetu ambao walisaidiana na nyerere katika harakati za kutafuta uhuru.
yeye hujikita zaidi kuzungumzia mchango wa wazee wake wa kariakoo tu. historia ya hao wazee wengine kutoka uchagani na usukumani, sio focus ya mohamed said.
kwa mantiki hiyo, usitegemee maelezo yoyote positive kutoka kwake yanayohusu familia ya mbowe na uhusiano wao na nyerere katika harakati za kutafuta uhuru.
Haka kaswali kakidwanzi sana subiri,hata ww utaenda waliko.Kuna watu wamekuja mjini juzi tu walitaka kujifanya nchi yao wako wapi