Ni mwezi wa pili sasa tangu watoto watundu walipoharibu Tv ya sebuleni sijatengeneza, niendelee kukaza au imetosha ?

Ni mwezi wa pili sasa tangu watoto watundu walipoharibu Tv ya sebuleni sijatengeneza, niendelee kukaza au imetosha ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,451
Sijaitengeneza ili wajifunze kuthamini na kutunza vitu.

Huwa nawapa nafasi ya kuangalia TV yangu ya chumbani siku ya Jummosi tena ni masaa matatu tu saa tisa mchana hadi saa 12 jioni, baada ya hapo ni mpaka wiki ijayo.
 
1000058547.jpg
 
ushamba tu, kwani hao watoto waliingia na shoka ndani ya tv na kuanza kukata nyaya? dalili ya umaskini ukiopitiliza, yaani tv😂😂 takataka kabisa
 
Hata hiyo ya chumbani usiwaruhusu waangalie. Wakitaka kuangalia basi wape hiyo mbovu wakatengeneze
 
Sio hatua mbaya ila
Je, wanaangalia ya kwingine kwa ratiba(sio vizuri masaa mengiiii kwa siku)?
Na wanachoangalia kinawafunza?

Miezi miwili imetosha sasa. kujifunza lazima use umeongea nao bila kuwapa kuchapwa sanaaa kisa unafikiria pesaa.. ukiwa na watoto ya kuharibika utokeaga.. njia ya kufurahia kulea 😁
 
Back
Top Bottom