Ni mwendo tuu.....!!!

Ni mwendo tuu.....!!!

Hiyo midomo utafikiri wanapiga mluzi tatizo nini... Kila mtu domo linavutwa mbele!!!!
 
Si wamejua tunayapenda sana, sasa subiri siku tukianza kupenda vichwa vikubwa kama helmet ndo utaona patashika mjini
 
ila mm nashukuru na vyenyewe na ukimwi ulikuwepogi lasi hivyo hao wangekuwa wanatutesa sana.
 
Mwendo sio mzigo na pumbu sio mzigo labda kama ushawahi choka kubeba zako na adhabu yake unaijua.?

c264591bb828eb1d0ac1ac8e97946258.jpg
 
Tusio na kitu hapo tunaamua kusema hawana kitu hizo nyama tuu kama nyama zinginr
 
Back
Top Bottom