Ni mwaka wa tatu sijapata kitambulisho cha NIDA

Yaani wewe miaka mitatu tu unalalamika, wengine hadi tulishasahau na hatujui tutapata mwaka gani kuwa mzalendo bhana
 
Namshukuru Mungu mm nimepata mwezi uliopita nilijiandikisha 2019

Kilichonisaidia mm nilikuwa napiga simu NIDA makao makuu toka mwaka huu mwez wa tano nikawa nawasumbua kila wiki napiga nakuwadanganya kuwa nimepata chuo nje so wanataka ID ya taifa

Mwez wa nane mwanzon nikawapigia wakaniambia mbona kimetoka nenda ofisi yako ya mtaa ulipojiandkikishia

Kweli nilipoenda nikakipata kitambulisho changu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu weka namba ya hao NIDA uliyokuwa ukiwapigia nami niipige
 
Back
Top Bottom