Ni mwaka gani ulitumia computer kwa mara ya kwanza?

Ni mwaka gani ulitumia computer kwa mara ya kwanza?

Hzi sredi zipo mbili kumbe? Moja computer nyingine internet bora ziunganishwe ziwe moja sema title ndio ibadirike iwe computer na internet kwa mara ya kwanza?
 
2000. Na mara ya mwisho kutumia diskett ilkuwa mwaka 2004. Wewe je?
 
Mie mwaka 2000 nilienda internet cafe na kaka yangu.. ila muda mwingi yeye alikua anaoperate vitu vingi.... Mwaka 2002 baada ya kumaliza elimu ya msingi ndio nikawa naenda peke yangu kwenye internet cafe.
 
mie laptop nimeitumia baadae sana, nilikuwa natumia desktop tu. na nilikuwa nahisi desktop za wazungu hazioneshi windows kama zetu (nilijua zao zinadisplay tofauti na yetu sisi bado tuko nyuma kimaendeleo)

Ha ha haa!!! Bila shaka movie ndio zilizokuwa zinakufanya ufikirie hivyo.
 
Ilikuwa mwaka 2000 tulikuwa tukifundishwa shule nilikuwa darasa la 5. Nakumbuka tulikuwa tukiingia computer room twavua viatu na kunawa mikono... Basi nilikuwa naishia cheza game sikumbuki vizuri jina lake nadhan lilikuwa laitwa blizard unakuwa unashambulia kwa helcopter na kuokoa watu kama sijakosea.
 
desktop computer........ 1995 laptop 1996 AICC Arusha
DbaseII, Spreadsheet,dos
Wakati huo hakuna mambo ya mouse
 
Watu hawachelewi kuuliza wakati unaanza kutumia ulikuwa na umri gani? Ukiwajibu hili, unaweza shangaa wanakuuliza ulifanya mapenzi kwa mara ya kwanza ukiwa na umri gani?
 
Watu hawachelewi kuuliza wakati unaanza kutumia ulikuwa na umri gani? Ukiwajibu hili, unaweza shangaa wanakuuliza ulifanya mapenzi kwa mara ya kwanza ukiwa na umri gani?

umeanza kupotea njia mkuu
 
Ha ha haa!!! Bila shaka movie ndio zilizokuwa zinakufanya ufikirie hivyo.

ukiangalia movie za fbi, cia nikawa nawaza hawa jamaa windo zao sijui zikoje, mtu akigusa tu button unaona yanatokea ma code yanapanda juu fasta
 
ulinizidi mwaka mmoja tu mm nilianza kutumia DOS mwaka 1996 nilisoma shule ya sanaa na ndipo tulipofundishwa kutumia hapo na tulijifunza kwa kufungua WINDOW kwa DIR/US/............... hapo nimesahau kidogo kwani ndo iilikuwa njia pekee ya kustart dos
1995 on my ()th birthday my dad bought me one!
 
mi nilianza kutumia mwaka 2002, zilikuwa computer za shule, shule nzima tulikuwa watu 9 tu ndo tuliokuwa tunasoma somo hilo na mwaka huo huo ndo nikaanza kutumia internet, nilifungua email nyingi, moja ilikuwa ya hotmail moja ya ganja na nyingine ya yohoo, internet nilikuwa naenda kuchati maana miaka ile yahoo massanger ndo ilikuwa inabamba sana, unaenda kwenye chating room then unachagua room unayoipenda, ukimkuta yoyote online unaanza kuchati naye, story kama kawa, pale ndo vifupisho vya maneno vilianza kutumika, ASL PLZ manaake ilikuwa age sex and location, tulikuwa tunaenjoy, kuna wakati nilikuwa nafungua ID za kike afu nawachokoza watu walikuwa wanajielezaje, ilikuwa raha sana
 
Ni mwaka gani ulitumia computer kwa mara ya kwanza?

vodacom.JPG
Mmh! kazi kweli kweli.. Ubunifu ni 0 ... WaTZ hatuwezi kuendelea kwa msingi huu
 

Attachments

View attachment 105250
Mmh! kazi kweli kweli.. Ubunifu ni 0 ... WaTZ hatuwezi kuendelea kwa msingi huu

sio mbaya kushea vitu vizuri tunavyokutana navyo mtandaoni... sasa jukwaa litadoda mkuu, watu kila thread help, msaada, blah blah. uo mtazamo wangu

angalia kwenye iyo picha kuna maneno like, comment, SHARE
 
Back
Top Bottom