hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,805
Ni mwaka gani ulitumia computer kwa mara ya kwanza?
1996 was the year.
Computer mbinuko aka chogo
Ni mwaka gani ulitumia computer kwa mara ya kwanza?
aise hata uelewa wa window miaka hiyo haukuwepo kabisa.
ulinizidi mwaka mmoja tu mm nilianza kutumia DOS mwaka 1996 nilisoma shule ya sanaa na ndipo tulipofundishwa kutumia hapo na tulijifunza kwa kufungua WINDOW kwa DIR/US/............... hapo nimesahau kidogo kwani ndo iilikuwa njia pekee ya kustart dos
Nilianza 2008 ==> OS ya Win XP ==> Computer ya Desktop (Chogo) ==> Tulikuwa ukiingia kwenye "'COMPUTER ROOM'" ni kuchora kwenye 'PAINT', Ku_change settings kama za wallpaper, creating user accounts n.k, Hahahah!
ukiangalia movie za fbi, cia nikawa nawaza hawa jamaa windo zao sijui zikoje, mtu akigusa tu button unaona yanatokea ma code yanapanda juu fasta
computer ya desktop (chogo) ndio ipi iyo
Ni mwaka gani ulitumia computer kwa mara ya kwanza?
2003
Prince of persia na arrows
Na disket 1.4 mb..ajabu kwel kwel..
Mwalim wa compter anatuonyesha flash tunaona ajaabuuu
1990 lakini sana sana nilikua nacheza gemu tu (snakers, pacmen, n.k) Kipindi hicho tulikua tunatumia DOS kwenda mbele..
Hili ndilo lilikuwa lenyewe enzi hizo
Ni mwaka gani ulitumia computer kwa mara ya kwanza?
hv Ile Nikitu Gan?? mm Mpaka Leo Sjuiii
via Ushamba Wangu