Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,510
- 145,990
hahaha. Now nimekusoma. Ina maana unaongozwa na tamaa?
Naongozwa na mengi na mojawapo ni tamaa. Hata wewe tamaa unazo.
hahaha. Now nimekusoma. Ina maana unaongozwa na tamaa?
kabla hujawa naye ni vyema kwanza kumjua, kumfahamu na kumtambua. Pia kumbuka kuwa no 1 is perfect. Kinachotakiwa ni kuvumiliana huku mkiwekana sawa katika hali yoyote.
Mi naona falsafa ya kuridhika itanishinda, hapa nafikiria jinsi ya kuziingiza kwa mamsap kuwa nataka nivute Team B. Nina wasiwasi yeye ataondoka wakati namhitaji sana kama bi mkubwa!
Daima atakuwepo mwanamke mzuri
kuliko mke au mpenzi wako na daima atakuwepo mwanaume mwenye fedha kuliko mumeo au mpenzi wako.
Cha msingi na cha muhimu ndugu yangu inakubidi ujifunze tu kuridhika na uliyenaye...
Naongozwa na mengi na mojawapo ni tamaa. Hata wewe tamaa unazo.
ina maanisha kuwa hujaridhka na ulyenaye so inakubid utafute mwngne?
hahaha. Now nimekusoma. Ina maana unaongozwa na tamaa?
Mengine hayavumiliki....
unachohtaji wewe ni pesa?
Yeah. . It better kuvunja uchumba kuliko ndoa!!
FORCE = MASS X ACCELERATION; and woman(mass) when approaches man's body, the blood accelerated to produce a Force that lift the pendulum bob upward....Kutamani zaidi ya ulichonacho ni asili ya binadamu. Kinyume cha hapo ni kujaribu kwenda kinyume na asili na mara nyingi asili huibuka kidedea.
Chezea forces of nature wewe? Utaumia....
Hapana si tamaa ni maumbile tu ndio maana tumepewa tools au miongozo fulani jinsi ya kuepuka....
usisahau kuwa hata wewe waweza kuwa na mambo ambayo mwenza wako anayavumilia kwa hali na mali.
Yes... Pesa ndo kila kitu hasa kwa kizazi hiki cha dot.com.
Upendo na kuridhika ilikuwa enzi za bibi na babu zetu......
je unavunja uchumba kwa sababu mwenza wako hana pesa, si handsome, si mrembo? je unakubali kuwa hakuna aliye mkamilifu?
je unatumiaje tools na miongozo uliyopewa?
Teh teh teh. Kumbuka waweza kumpata mwenye pesa bt akakosa upendo. Kama wewe si wa kuridhka basi hata akija mwngne mwenye pesa zaidi ya uliyenaye utataka kuwa naye.
Hahahaaaa ... Kama anavumilia shaurile!!! Atakufa na tai shingoni. Utavumiliaje wakati mwenzio haoni umuhimu wa wewe kuvumilia. Kha cha mno nini kumvumilia binadamu mwenye akili timamu mliyekutana vitovu vimekauka... Kamwe huwezi kumbadili Chui akawa mbuzi!!!!!