Ni muhimu kuridhika na Uliyenaye.

Ni muhimu kuridhika na Uliyenaye.

pesa ni kitu ambacho huja na pia kupotea. Upendo wa kwel hudumu.

Upendo??? Hahaaaaa..... Upendo gani unaouzungumzia???? Nina mifano hai, hata humu jf huwa wanasema sana. Kuna wanaume wanawapenda sana wake zao, ila kucheat ni nature. Lakini hata siku moja huwezi mkuta kamwonyeshea dharau mkewe!!!
 
hahaha. Dharau c mpaka ioneshwe. Kucheat tu ni dharau kubwa sana. Kucheat ni kutom heshmu mwenza wako.
 
hahaha. Dharau c mpaka ioneshwe. Kucheat tu ni dharau kubwa sana. Kucheat ni kutom heshmu mwenza wako.

Hahaaaaa.... wengine kucheat ni hulka tu sio kwamba hampendi mkewe/mmewe. Hata ukimuuliza huyo hawara anamzidi nini mkewe /mmewe hatokuwa na jibu. Hawara ye atataka raha tu ila kwenye shida nooo big NO!!!

Let say mme/mke anaumwa kalazwa tena hajiwezi. Atakayetoa huduma (kumsafisha akiwa hajiwezi) ni mke/mme. Ila akipona tu hatoacha kurudi kwa hawara.
 
Ila kuendekeza hulka na tamaa ni hatari kwa relation.
 
shemejiiiiii!
vipiiiiiiiii?
swalamaaaaaaaaaaaaaaa?
umesema pwenti ujue!
ila kimsingi kwa macho haya ya hapa juu ya pua yangu inawezekana ikawa kweli ila kwa macho ya hiki kilichopo juu ya pafu langu la kushoto ah weeeeewe
HAKUNA!NA HATAKUWEPO!
 
Asprin hebu kuja huku!nahisi kizungu zungu tu mie hapa!
!please come!
and do ze nidful fi at all yu know wat i mean!
lol!
 
Last edited by a moderator:

Usalama upo sana shemeji yangu. Inatakiwa uyaongoze macho yote. Usiruhusu macho yakuongoze kamwe....
 
Asprin hebu kuja huku!nahisi kizungu zungu tu mie hapa!
!please come!
and do ze nidful fi at all yu know wat i mean!
lol!

Kizunguzungu knatokana na nn shem wangu? Kuko na tatizo?
 
Last edited by a moderator:
kutamani kupo lkn pia unaweza kuyashinda matamanio yako kwa kumpenda zaidi uliye naye hiyo ni kwa sababu 2 wazuri hawaishi
 
Usitamani mke wa jirani yako, wal chochote alicho nacho jirani yako, wala punda wake, wala ng'ombe wake! wala HG wake, wala mume wake wala mali zake, wala ajira yake.
 
Nakubaliana na wewe 100%. There will always be a man more handsome, richer, flashier smile than him. With a nicer car, and swaggz kibao. By the way, what you see is not what you get.

Kunotice na kuadmire is ok, kutamani is way off line.

Tofauti ni nini hapo bi King'asti ??!
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana mimi sio MPAKA nimpate yule ambaye ni mzuri kuliko wote...yani hakuna wa kumzidi!!!
 
Back
Top Bottom