Ni muhimu kuridhika na Uliyenaye.

Ni muhimu kuridhika na Uliyenaye.

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
11,556
Reaction score
7,113
Daima atakuwepo mwanamke mzuri
kuliko mke au mpenzi wako na daima atakuwepo mwanaume mwenye fedha kuliko mumeo au mpenzi wako.

Cha msingi na cha muhimu ndugu yangu inakubidi ujifunze tu kuridhika na uliyenaye...
 
Ni kweli lkn kuna mademu wengine wakali hata mamaa Achumani ni anakuwa kama HG sasa kuwaacha wapite tu du mtihani
 
sasa kama kila mzuri anayepta unamtamani je utataman na kuwa na wangapi hapa duniani?
 
Kutamani zaidi ya ulichonacho ni asili ya binadamu. Kinyume cha hapo ni kujaribu kwenda kinyume na asili na mara nyingi asili huibuka kidedea.

Chezea forces of nature wewe? Utaumia....
 
Nakubaliana na wewe 100%. There will always be a man more handsome, richer, flashier smile than him. With a nicer car, and swaggz kibao. By the way, what you see is not what you get.

Kunotice na kuadmire is ok, kutamani is way off line.
 
Kumbuka tamaa ilimponza físi. Ni vyema kuwa na uwezo wa kudhibiti tamaa ulyonayo. Wazuri na wenye fedha hawakwish duniani.
 
Nakubaliana na wewe 100%. There will always be a man more handsome, richer, flashier smile than him. With a nicer car, and swaggz kibao. By the way, what you see is not what you get.

Kunotice na kuadmire is ok, kutamani is way off line.

Umenena.
 
Na mara nyingi unapoamua kutua/kutulia mahali basi wenye pesa zaidi au wazuri zaidi ndio wanamiminika kukuletea vishawishi.. Utakuta mtu akiwa single mtu wala hamfuati lkn akiolewa tu au akioa ndo muda ambao wengine wanamuona mzuri zaid..
 
Daima atakuwepo mwanamke mzuri
kuliko mke au mpenzi wako na daima atakuwepo mwanaume mwenye fedha kuliko mumeo au mpenzi wako.

Cha msingi na cha muhimu ndugu yangu inakubidi ujifunze tu kuridhika na uliyenaye...

Kweli kabisa ujue
 
Na mara nyingi unapoamua kutua/kutulia mahali basi wenye pesa zaidi au wazuri zaidi ndio wanamiminika kukuletea vishawishi.. Utakuta mtu akiwa single mtu wala hamfuati lkn akiolewa tu au akioa ndo muda ambao wengine wanamuona mzuri zaid..

hayo ni majaribu. Ukifanikiwa kuyashinda basi utakuwa ktk hali nzuri kimahusiano. Misimamo yako ndio ngao yako.
 
Back
Top Bottom