Ni muhimu kuridhika na Uliyenaye.

Ni muhimu kuridhika na Uliyenaye.

Nitajuaje? mi mwenyewe it takes time mtu kunijua kama nina makolokocho........!!!!!!

Testing....you have to test before you trust...na hii inawezekana kabisa mpz wangu sema tu nyakati nyingine huwa tunakuwa na haraka ya kutimiza shauku zetu
 
Vitabia vibaya vibaya, maudhi ya mara kwa mara n.k n.k

kabla hujawa naye ni vyema kwanza kumjua, kumfahamu na kumtambua. Pia kumbuka kuwa no 1 is perfect. Kinachotakiwa ni kuvumiliana huku mkiwekana sawa katika hali yoyote.
 
It's hard to go against the forces of nature. That's just the way it is.

Its not hard..its your mindset..Nafsi ya mwanadamu na mwili ndo mara nying hutamani.. Lkn unaweza kuizoesha utakavyo.. Ukiizoesha kumpenda fulani..sio rahis kubadilikabadilika kama kinyonga no matter what
 
It's hard going against the forces of nature. Take your time and let it sink in and maybe, maybe you will see where I'm coming from with it.

hahaha. Now nimekusoma. Ina maana unaongozwa na tamaa?
 
Mi naona falsafa ya kuridhika itanishinda, hapa nafikiria jinsi ya kuziingiza kwa mamsap kuwa nataka nivute Team B. Nina wasiwasi yeye ataondoka wakati namhitaji sana kama bi mkubwa!
 
Back
Top Bottom