Ni muhimu kuridhika na Uliyenaye.

Ni muhimu kuridhika na Uliyenaye.

Hahaaaaa.... wengine kucheat ni hulka tu sio kwamba hampendi mkewe/mmewe. Hata ukimuuliza huyo hawara anamzidi nini mkewe /mmewe hatokuwa na jibu. Hawara ye atataka raha tu ila kwenye shida nooo big NO!!!

Let say mme/mke anaumwa kalazwa tena hajiwezi. Atakayetoa huduma (kumsafisha akiwa hajiwezi) ni mke/mme. Ila akipona tu hatoacha kurudi kwa hawara.

Sasa charminglady umeanza kutusema watu live humu!!
 
Ni kweli kabisa lakini ni rahisi sana kuongea hivi ila utekelezaji wake ndo unakuwa mgumu.Kwa asili binadamu si wa kuridhika hata kidogo,mara zote atafanya jitihada kupata kile ambacho hana.
 
Asprin hebu kuja huku!nahisi kizungu zungu tu mie hapa!
!please come!
and do ze nidful fi at all yu know wat i mean!
lol!
Yeah? Of course I know what you mean... but do you think this is the right time? Kikombe alichonipa baba sitakinywa?

Miss you mwalimu wangu snowhite.
 
Last edited by a moderator:
shemejiiiiii!
vipiiiiiiiii?
swalamaaaaaaaaaaaaaaa?
umesema pwenti ujue!
ila kimsingi kwa macho haya ya hapa juu ya pua yangu inawezekana ikawa kweli ila kwa macho ya hiki kilichopo juu ya pafu langu la kushoto ah weeeeewe
HAKUNA!NA HATAKUWEPO!
Heheheheheh! Mwalimu bwana.... Huyu kijana anataka yanayofanywa na chaki na ubao uyafanye? Jicho ni jicho bana, na moyo utabakia kuwa moyo.

Nshawaona warembo ile mbaya lakini bado sijamwona mrembo kumzidi mama Matesha wangu. Ndivyo moyo wangu unavyoniambiaga. Natamani saaaana, lakini kwenye kupenda sina mamlaka ya kuupinga moyo wangu. Eeeh Mungu endelea kunibariki baba.
 
heheheheheh! Mwalimu bwana.... Huyu kijana anataka yanayofanywa na chaki na ubao uyafanye? Jicho ni jicho bana, na moyo utabakia kuwa moyo.

Nshawaona warembo ile mbaya lakini bado sijamwona mrembo kumzidi mama matesha wangu. Ndivyo moyo wangu unavyoniambiaga. Natamani saaaana, lakini kwenye kupenda sina mamlaka ya kuupinga moyo wangu. Eeeh mungu endelea kunibariki baba.
amina amina!
Na hili ndilo neno la babu odm
kila sikio lisikie na kila jicho lione!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom