Ni Mtazamo tu!

Ni wazo zuri,bt kama una nia ya dhat na mtu humu si unatumia efforts zako na kwenda some extra miles siyo mpaka uletewe on a plate lol

Yaani Ciello unamsifia mdau! Then unamuacha umemgonga konzi la kishkaji !
Mtoto pasua wewee!
 
Last edited by a moderator:
Ni wazo zuri,bt kama una nia ya dhat na mtu humu si unatumia efforts zako na kwenda some extra miles siyo mpaka uletewe on a plate lol

Anataka golden chance kwenye plate sio
 
Tutajuaje kwamba hiyo picha ndio yako na wewe ni Ismail N. Juma ambaye anaishi, namaanisha yupo na anafahamika? Hata hivyo mie nimeshauri physical contact sio picha!
nimekuelewa, mie napenda tufahamiane na wewe
 
Nani kakwambia tunapoteza muda humu?

Ninapokuambia unapoteza muda simaanishi complete waste, lakini unafanya jambo kwa kutumia muda mwingi ambalo ungelifanya kwa urahisi na kwa muda mfupi zaidi. Usitumie rasilimali nyingi kufanya jambo jepesi, hiyo ni inefficiency.
 
Hebu niambie kati ya hawa wawili nani atakuwa anatumia muda mrefu kufanya jambo ambalo angelifanya kwa urahisi

Wa kwanza - yule anefahamiana na mtu humu wakapeana contacts alafu wakapanga lini wakutane kujadili mstakabali wao

Wa pili: - yule nayesubiri wadau wapange siku ya kukutana kama hiyo ya tareh 28 Dce. Iliakachague huko ukizingatia safari kama hizo zinatokea mara chache sana.

naomba jibu.
 
Bhaaasiiii umekill
 
Inategemeana nyie mtapanga kukutana lini, kama ni mwakani au baada ya 28 Dec maana yake wale watakaokutana tar 28 watafanya haraka zaidi na kwa uhakika, maana wataanza mahusiano baada ya kuonana live bila chenga.

Unamfahamu mtu halafu unamtafuta huku! Hiyo namba 1 sijaielewa. Kwa hiyo wewe unaanza mazungumzo na mtu kwa kuangalia tu avatar na jina bila kujali anaonekanaje?

Nimetoa ushauri tu, binafsi siwezi tongoza mwanamke simjui, wala siwezi kupanga naye kukutana kwa dili za mahusiano bila kumjua angalau sura yake (physical expression), isipokuwa kama ni kwa dili zingine kama biashara sawa, hata kama aonekane kama nyang'au sitajali kwani nitakachokuwa naangalia ni kufanikisha biashara yangu.
 
Ndoa za humu jf sidhani kama huwa zinadumu zaidi ya miaka miwili. Bora nitoke nje hata sasa hivi nizunguke nikamate mtu kuliko kukomaa na avatar, I'm sorry to say this.
 
Hahahah pole kwa kukosa lol, watakakuletewa eeeeh, raha ya mapenzi,mwanaume amchase mwanamke yaani aweke efforts so angoje aletewe,tafuta hapo kitaa bana utapata2 usikate tamaa....

Hahahaaa. Mkuu Ciello sikatai kukomaa kumpata mwanamke, tatizo ni siwezi kukomaa na mtu, mfano wewe kwa kuangalia tu avatar na jina lako fake, isipokuwa kama siko serious.
 
We komaa tu hapo kitaa,jf ina wenyewe usije ukalizwa bure...
Hahahaaa. Mkuu Ciello sikatai kukomaa kumpata mwanamke, tatizo ni siwezi kukomaa na mtu, mfano wewe kwa kuangalia tu avatar na jina lako fake, isipokuwa kama siko serious.
 
Kwa Tanzania hii ambapo wanawake wapo kila kona tena wazuri na unakutana nao physically, siwezi kujichanganya humu jf ati natafuta mke, crazy! Hii labda ni kwa wale jamaa ambao hawawezi kutongoza uso kwa uso, hapa sasa wamepata pa kufanyia mazoezi.

Vitu vingine ni Awkward! Yaani marafiki au majirani au ndugu au watoto siku nyingine wakiuliza, mfano baba ulikutana na mama wapi hebu tupe story, ati jf!
 
Haya basi Ciello na chardams tafutaneni mkamatane, ndoa yenu ikidumu basi tutajua mwenzi jf inawezekana.
 
Hahahahahah classics bana, mie nshapatwa sitafuti nilikuwa nanogesha mjadala 2 huoni watu wamechangia sred?
Haya basi Ciello na chardams tafutaneni mkamatane, ndoa yenu ikidumu basi tutajua mwenzi jf inawezekana.
 
Last edited by a moderator:
Searching for a life partner at JF should be your last resort after all other means have failed. This is the least appropriate approach of all I know! Kataa kubali ndio hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…