Nashauri magwiji wa hili jukwaa wa organize get together, kwa namna hiyo watu wataweza kufahamiana kwa sura, sio kwa majina ya JF.
Nadhani hiyo itasaidia watu kuanzisha mahusiano kwa kufahamiana. Siongelei wapenzi, naongelea watu wenye nia ya dhati ya kuhitaji mke/mme. Ni hayo tu.
Ni wazo zuri,bt kama una nia ya dhat na mtu humu si unatumia efforts zako na kwenda some extra miles siyo mpaka uletewe on a plate lol
Hahahah mwataka kongamano mjichagulie lol
we njoo Pangani tar 28 Dec tupumzike ufukweni.....
Nashauri magwiji wa hili jukwaa wa organize get together, kwa namna hiyo watu wataweza kufahamiana kwa sura, sio kwa majina ya JF.
Nadhani hiyo itasaidia watu kuanzisha mahusiano kwa kufahamiana. Siongelei wapenzi, naongelea watu wenye nia ya dhati ya kuhitaji mke/mme. Ni hayo tu.
Mie, sio gwiji ila kila kitu nilichoweka ni changu harisia, kuanzia jina na avatar pamoja na picture ya mtoto wangu katika profile yangu! Nawe pia kua mfano ili uhamasisheNashauri magwiji wa hili jukwaa wa organize get together, kwa namna hiyo watu wataweza kufahamiana kwa sura, sio kwa majina ya JF.
Nadhani hiyo itasaidia watu kuanzisha mahusiano kwa kufahamiana. Siongelei wapenzi, naongelea watu wenye nia ya dhati ya kuhitaji mke/mme. Ni hayo tu.
Ni wazo zuri,bt kama una nia ya dhat na mtu humu si unatumia efforts zako na kwenda some extra miles siyo mpaka uletewe on a plate lol
Mie, sio gwiji ila kila kitu nilichoweka ni changu harisia, kuanzia jina na avatar pamoja na picture ya mtoto wangu katika profile yangu! Nawe pia kua mfano ili uhamasishe
We classic ni Me au Ke?
We mwenyewe hutaki tujue!
Naomba niwe rafiki yako wa karibu kama ni KE
Disemba 28 tukutane tanga, wewe ni me au ke? Soma sred inayoanza na ..werawera.. Ya wanaarusha.
Mbona umwambii aje na wake maana kule mtu single haruhisiwi kifaa cha kunasua kimepatina lakini ErickB52 ana kikodisha kwa bei ya juu!
Kwa hiyo ErickB52 ni mjasiriamali sio?