Ni movie Gani ilkutisha Enzi hizo?

"Mountain of the cannibal God" ilisumbua sana mwanzoni mpaka katikati ya miaka 80. Ni ya kuogofya hasa mwanadam anapobanikwa kama ndafu. na "King Solomon mines"
 
Movies hizi hapa..
e73c83056c5dccd2d05e2da73eff75e3.jpg



995c5af001067f2ea5aed068c8e390d5.jpg



Cc: mahondaw
 
Kiupande wangu ile movie ya "Uwanja wa dhambi" nilikuwa naiogopa sana kuangalia... hasa usiku,zile mishe ya kichawi nikifikiria DuuuH nilikuwa spati usingiz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom