Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,781
- 20,946
Wakuu habari zenu?
Hatimaye Mungu amenikumbuka.
Nataka nikajipe mapumziko kidogo baada ya heka heka flani za mwaka mzima uliopita na mitihani flani ya maisha ili akili ikae mkao wa utafutaji.
Sasa naomba wakuu mnishauri mkoa mzuri hapa Tanzania ambao una maeneo mazuri ya mapumziko. Mkoa huo usiwe Arusha, Tanga, Dar es salaam na Kilimanjaro. Pia zanzibar na visiwa vyake hapana. Mimi binafsi nimependa Mwanza kwa kuwa sijawahi kufika huko, ila mapendekezo yenu nayaheshimu sana.
Bei ya malazi ianzie 50,000 hadi 100,000 kwa siku kwamba hata ikiwa 60, 70 poa tu.
Plan ni kukaa wiki moja (pamoja na siku za safari).
Sipendi kupanda ndege huwa napenda Road trip.
Bajeti yangu haitazidi 1.5.