Ni mke wangu lakini kumbe ana michepuko yake

Ni mke wangu lakini kumbe ana michepuko yake

Mwanamke hapigwi ngumi

Halafu ana uhakika gani.kuwa huyo.ni.mchepuka? What if ni mdai wake? Au shoati king'ang'anizi ndio alimfix ili asimsumbue?

Huyo.mwanaume busaraless
 
Wanaume wengine kichwani hamna kitu. Yaani yeye anafikiri kila mpenzi wake anapoongea na mwanaume mwingine anacheat hasa anapomdanganya huyo anayeongea naye. Huenda ikawa deni kama unavyosema au anamtaka lakini mwanamke hataki ndiio maana anampiga chenga. Wakati mwingine anaweza akawa boss wake kazini akamdanganya kuwa anaumwa ili apumzike kidogo kazi,nk Lakini wanaume wenye akili finyu wanawaza jambo moja tu---lazima mke/mpenzi wangu anacheat. Halafu haulizi anaanza kushusha vibao na ngumi!

mie amenishangaza haswa.......anashindwa kuchukua muda wa kuchunguza na kujua ukweli.....
 
Nakumbuka tukio kama hili miaka mi2 iliyopita, tulikua msasani slipway tunapata lunch buffet. Next table kulikua na mama wa makamo, muonekano wake ni mtu mwenye fedha sana, coz alikua na mTab mkononi, msimu wa maana, kajikoboa madhahabu ya kutosha...

Tumekaa kama dakika2, akaja jamaa wa makamo, kagonga suti ya maana, mkononi ana handcase ya kufa mtu, akafika kwenye ile meza ya yule mama, by that time yule mama alikua anaongea na simu. Jamaa akaanza kushusha kichapo, makofi, huku anamwaga matusi. "M/ke malaya sana wewe, --------, hubebeki... na utanieza vzr tukifika nyumbani -------" mama analia tu, jmn nisaidieni mwizi ananiuwa.
Watu tukapotezea, si tulikua tunajua yule mama ni wife wa jamaa, jamaa akabeba mkoba, simu, tablet na macheni, akasepa huku akisema "ukifika nyumbani utanitambua leo ulilala wapi"...

Jamaa alivyosepa yule maza ndo akaanza kuelezea mkasa, kumbe wala hawajuani, ni mishenTown tu za vijana kupata pesa. Kweli mjini chuokikuu.

Dah!!Hii ni kali kwa kweli!!
 
Mwanamke hapigwi ngumi

Halafu ana uhakika gani.kuwa huyo.ni.mchepuka? What if ni mdai wake? Au shoati king'ang'anizi ndio alimfix ili asimsumbue?

Huyo.mwanaume busaraless

Hihihiii!! Dada yangi "kifyatilo" (simu ya touch kwa Kihehe) kinakupa tabu sana yaonekana!!

Busaraless....!!! Umetohoa naona, lugha itakua kwa kasi sana tukifuata mfano wako teh teh
 
kuongea na mtu mwingne kwe simu na nikamdanganya mahali nilipo haimaanishi ni mchepuko wangu....... sema huyo mwanaume ana gubu tu
 
Nakumbuka tukio kama hili miaka mi2 iliyopita, tulikua msasani slipway tunapata lunch buffet. Next table kulikua na mama wa makamo, muonekano wake ni mtu mwenye fedha sana, coz alikua na mTab mkononi, msimu wa maana, kajikoboa madhahabu ya kutosha...

Tumekaa kama dakika2, akaja jamaa wa makamo, kagonga suti ya maana, mkononi ana handcase ya kufa mtu, akafika kwenye ile meza ya yule mama, by that time yule mama alikua anaongea na simu. Jamaa akaanza kushusha kichapo, makofi, huku anamwaga matusi. "M/ke malaya sana wewe, --------, hubebeki... na utanieza vzr tukifika nyumbani -------" mama analia tu, jmn nisaidieni mwizi ananiuwa.
Watu tukapotezea, si tulikua tunajua yule mama ni wife wa jamaa, jamaa akabeba mkoba, simu, tablet na macheni, akasepa huku akisema "ukifika nyumbani utanitambua leo ulilala wapi"...

Jamaa alivyosepa yule maza ndo akaanza kuelezea mkasa, kumbe wala hawajuani, ni mishenTown tu za vijana kupata pesa. Kweli mjini chuokikuu.
Huu udaku ukimpjelekea Shigongo unaweza kupata mpunga wa kununua ka-vitz aka baby walker!
 
labda alikuwa anaongea na shosti wake, kwani shosti huwezi kumdanganya?
 
Jambooo JF??

Ni hivi asubuhi limetokea tukio la kufurahisha ila ni la kujifunza kitu fulani!!

Tukiwa tumesimama barabarani nje ya ofisi naagana na mgeni, kulikuwa kuna watu wawili mwanamke na mwanaume wanakuja kwa mbele yetu wanaongea kwa furaha tu!! Mara mwanamke akapokea simu, kilichoongelewa hatuelewi lakini ghafla mwanaume akaanza kumshambulia mwanamke kwa mangumi na mateke!!

Kati yetu hakuna aliyeweza kuuliza au kuongea chochote coz lilikuwa ni tukio la muda mfupi sana ila kwa kujishtukia jamaa ikabidi aanze kuongea kabla hajaulizwa....!!

Akasema (huku kama anatufokea)....!! "wanawake wengine bwana.....!! Huyu ni mke wangu kabisa, lakini ana michepuko yake....!!! Niko nae hapa lakini yeye kapokea simu halafu anasema yuko waapi sijui....!!!"

Kwa akili ya haraka tukagundua kumbe yule mwanamke alipokea simu then akawa anamdanganya anayeongea nae kwenye simu mfano upo Kigogo the ukapokea simu ukamwambia unayeongea naye kuwa upo Kariakoo.

Wangapi mshafanya haya mambo mbele ya wapenzi wenu? Waliwachukulia hatua yoyote au ndo walipotezea??

Je, mpenzi wako akaongea namna hiyo mbele yako utamchuliaje?? anastahili adhabu??

Nawasilisha

si useme tu yamekutokea tukupe pole hii ndio jf usiwe na shaka
 
kuongea na mtu mwingne kwe simu na nikamdanganya mahali nilipo haimaanishi ni mchepuko wangu....... sema huyo mwanaume ana gubu tu

tena gubu kama la mwa fulani hapa...yeye ana-conclude kila kitu kivyakevyake
 
si useme tu yamekutokea tukupe pole hii ndio jf usiwe na shaka

Aah!! Hapana ndugu, mimi nikifanya kupiga kofi mwanamke napoteza kazi na heshima niliyonayo kwenye jamii inayonizunguka!
 
Huna hizo nguvu. Kila siku?????

Hee!! Brother nyamaza kabisa wasikusikie watu, kuna mwanamke kakimbia ndoa kakimbilia kwao Arusha na hataki habari za ndoa kabisaaa!! Kisa jamaa linapenda kugonga mashono kuliko hata kula, mchana kutwa usiku kucha!! Anakwambia ni kila siku hawalali, wakilala ni lisaa limoja mawili kakurupushwa ili wamegane, jamaa dudu yake muda wote ipo wima wima na mbaya zaidi hariziki bado ana mimalaya mitaani duuu!! Never seen before
 
Najua hao watu wapo, nimekuuliza wewe
 
ila kumpiga ngumi alikosea sana!!!
dawa ya watu kama hao usiku unawato..mba usiku kucha kila siku halafu mambo yake haujali ilimradi kila siku anapiga kelele za kufa mtu!!!!
Na kum fi ra juu kila siku na lazima uwe una mtoa ma vi
 
Back
Top Bottom