Ni mke wangu lakini kumbe ana michepuko yake

Ni mke wangu lakini kumbe ana michepuko yake

Pole ndugu.

Kuna binti mmoja ameniambia, USIPO MFIKISHA MKEO/DEMU WAKO KILELENI LAZIMA ACHEPUKE, kama unamfikisha na anachepuka basi ni tabia yake tu, ambayo huwezi kuizuia.
 
Mi simfanyi chochote! Uchepukaji ni tabia ya mtu haiwezi kumalizwa kwa kumpiga au kulalamika kwa watu. Mwenyewe akiona umuhimu wa kuwa na tabia nzuri atafanya hivyo kwa hiari yake.
 
Nakumbuka tukio kama hili miaka mi2 iliyopita, tulikua msasani slipway tunapata lunch buffet. Next table kulikua na mama wa makamo, muonekano wake ni mtu mwenye fedha sana, coz alikua na mTab mkononi, msimu wa maana, kajikoboa madhahabu ya kutosha...

Tumekaa kama dakika2, akaja jamaa wa makamo, kagonga suti ya maana, mkononi ana handcase ya kufa mtu, akafika kwenye ile meza ya yule mama, by that time yule mama alikua anaongea na simu. Jamaa akaanza kushusha kichapo, makofi, huku anamwaga matusi. "M/ke malaya sana wewe, --------, hubebeki... na utanieza vzr tukifika nyumbani -------" mama analia tu, jmn nisaidieni mwizi ananiuwa.
Watu tukapotezea, si tulikua tunajua yule mama ni wife wa jamaa, jamaa akabeba mkoba, simu, tablet na macheni, akasepa huku akisema "ukifika nyumbani utanitambua leo ulilala wapi"...

Jamaa alivyosepa yule maza ndo akaanza kuelezea mkasa, kumbe wala hawajuani, ni mishenTown tu za vijana kupata pesa. Kweli mjini chuokikuu.

Duuuh!! Ila huyo jamaa anajiamuni sana kufanya hivyo!!
 
ukute wala siyo mchepuko.....labda ni mtu anamdai sasa anamdanganya tu....ni vizuri kuuliza na kufwatilia kwanini amedanganya.....mana kwa akili ya kawaida hauwezi kupokea simu ya mwanamme mwingine wakati uko na mmeo.....
wapo wanaopokea simu huku wako na wapenzi wao
 
Mi changu kibamia lkn nawatia aje foren na kibamia changu
 
Na akiendelea kumpiga mkewe wanaojua kubembeleza wataendelea kubembeleza
 
Haya yapo sana.
Jana tu nikiwa ndani ya daladala tukiwa tumefika kamata Dada mmoja akapokea cm akasema yuko sokoni lkn walimshambulia mpaka alishuka
Siku moja nako niko baa furani nashushia soda yangu mama mmoja akaja akakaa karib na Mimi kiti cha tatu akaanza kunipiga kijicho baadaye akafunguka akaniuliza kaka hiv hapo panamtu? yaani yaani ile siti karib nami nikamjib hamna mtu . Dada wa watu akavuta taratib akakaa Mara cm ikaiita du makumbwa yule mama alitimua mbio mpaka chooni ndiko alikopokelea . aliporudi mmoja akamuuliza kwani kupokelea chooni akasema "ulitaka niachike" kumbe alikuja kwenye mchekopu wake.
 
that is critical thinking thanks
Mi simfanyi chochote! Uchepukaji ni tabia ya mtu haiwezi kumalizwa kwa kumpiga au kulalamika kwa watu. Mwenyewe akiona umuhimu wa kuwa na tabia nzuri atafanya hivyo kwa hiari yake.
 
Kujibu uongo ndio kumpiga ngumi....? Mara ngapi anaongopa kwenye simu. ...
 
Back
Top Bottom