Ni mimi pekee ndiyo nina maamuzi ya kijinga?

Mkuu Kwa sisi wanaume uki sum up Kila tunachofanya hapa Duniani mwisho wake ni Ili tule pussy kwa utuo,Jiulize kuna umuhimu Gani wa kufanya mambo makbwa Dunia hii kama mwisho wa siku hupati manzi?Uko sawa mkuu,itunze iliyobaki usubirie repeat again mechi.
 
Kuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela.

Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi ninetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile hela ambayo ingeenda kutumika huko, ila bado naona ugumu kuitumia kwa lile jambo la 60.

Why kwake nilikua radhi kulaza laki mbili?
Si pekeako. Mm mwenyewe mwanzoni mwa hii 2024 nimetoka zanzibar mpk mombasa kenya kwa ajili ya mwanamke wa kibajun nimetumia karibu 1 million hapa bado kuna deni nadaiwa na mambo tele ya muhimu ningeweza kufanya kwa pesa hio lkn sikufanya nikaenda kuiteketeza huko. Japo huifikiria lkn nimepata kuonana nae pia nimeweza kutembelea mji huo
 
Sitosahau nilipata pesa za korosho milion 4 na mama yangu akanipa million 6 jumla ikawa milion 10 na lengo ilikuwa nifungulie biashara halafu wakati nipo kwenye mchakato wa kufungua nikapata binti wa chuo cha cotc mtwara mtoto wa kidigo alikuwa mzuri yule balaa,,,akaniambia bado siku tatu chuo wafunge likizo ya mwezi mmoja nayeye hataki kwenda kwao anamisi sana twende tukatembee miji tofauti aisee yule demu ni mla bata mno sijui alikuwa anatumia dawa gani, nilijikuta natoa tu pesa hata kwenye mambo yakipuuzi tulitembea miji tofauti Tanzania mpaka visiwani nako tulifika halafu alivyo mjinga hataki tulale lodge yeye ni mwendo wa hotel tu,,,nakuja kustuka ni pale bimkubwa aliponipigia simu kuuliza nimefikia wapi kwenye biashara nikicheki kiasi kilichobaki ni kama milion 4 aisee nilivurugwa mno
 
Hakuna dawa ni kakuzidi akili
 
Kuna sisi amabao tunatauta hata mtaji wa laki mbili tusongwshe maisha ila kuna wana wanatumia milioni lufurahisha mwanamke, kweli maisha hayako fair
 
Sitosahau nilipata pesa za korosho milion 4 na mama yangu akanipa million 6 jumla ikawa milion 10 na lengo ilikuwa nifungulie biashara halafu wakati nipo kwenye mchakato wa kufungua nikapata binti wa chuo cha cotc mtwara mtoto wa kidigo alikuwa mzuri yule balaa,,,akaniambia bado siku tatu chuo wafunge likizo ya mwezi mmoja nayeye hataki kwenda kwao anamisi sana twende tukatembee miji tofauti aisee yule demu ni mla bata mno sijui alikuwa anatumia dawa gani, nilijikuta natoa tu pesa hata kwenye mambo yakipuuzi tulitembea miji tofauti Tanzania mpaka visiwani nako tulifika halafu alivyo mjinga hataki tulale lodge yeye ni mwendo wa hotel tu,,,nakuja kustuka ni pale bimkubwa aliponipigia simu kuuliza nimefikia wapi kwenye biashara nikicheki kiasi kilichobaki ni kama milion 4 aisee nilivurugwa mno
Itakua bi mkubwa alikua anasumbuliwa na ndoto za ajabu, za dragon mfyonza pesa akaona akustue
 
Hauko peke yako ,,, IRUWASA walinipa bill ya maji mapema tu kwa njia ya sms wakinitaka nilipe bill ya maji kiasi cha sh 34,400/= kabla ya tarehe 25 ili kuepuka usumbufu utakao jitokeza .. siyo kwamba sikuwa na pesa mbaka muda huo nasoma hii mesegi lakini akili ya nyangu ikawa nzito kufanya maamuzi ya kwenda kulipa ... Juzi nikiwa napita maeneo ya Chuo cha RUCU nikakuta na binti mmoja mzuri ambaye alifanikiwa kuiteka akili yangu hata hunipelekea niombe namba ili tufamiane zaidi ... Haulaa leee salalee

Kumbe binti kodi yake ilikuwa inakaribia kuisha chumba akaacho ni sh 50000 ( kwa mujibu wake ) na yeye alikuwa nayo 100,000/= kama rafiki yake kaomba nimsaidie 50,000/= tu

...hivyo ili asije niona mkono wa birika au mwanaume bahari kweli nimempa hiyo 50,000 aliyoitaji,,,,,na hapa namcheki mshikaji wangu fulani anikope 30,000/= wasije kukata maji wapuzii wa iruwasa ... Japo roho imeniuma sanaaa na kwa kweli kwa namna fulani nimejidharau sanaa kwa maumizi yangu ila nimejifariji kwa kujiambia nikisha piga hii pisii naisukumia huko siiitakii tenaaaaa nimesema ...
Nimegomea kulipa Kodi ya fremu shilingi elf 5 nakifanyaga kama stoo hivi Basi bna jpili juz na ya week Ile nilitumia laki Moja jumla kwa kunywa nankula na malalya ambae hata sijamtomba kila nikijitafakari najioma mpuuzi sna na mpuumbavu mno
 
Hauko peke yako ,,, IRUWASA walinipa bill ya maji mapema tu kwa njia ya sms wakinitaka nilipe bill ya maji kiasi cha sh 34,400/= kabla ya tarehe 25 ili kuepuka usumbufu utakao jitokeza .. siyo kwamba sikuwa na pesa mbaka muda huo nasoma hii mesegi lakini akili ya nyangu ikawa nzito kufanya maamuzi ya kwenda kulipa ... Juzi nikiwa napita maeneo ya Chuo cha RUCU nikakuta na binti mmoja mzuri ambaye alifanikiwa kuiteka akili yangu hata hunipelekea niombe namba ili tufamiane zaidi ... Haulaa leee salalee

Kumbe binti kodi yake ilikuwa inakaribia kuisha chumba akaacho ni sh 50000 ( kwa mujibu wake ) na yeye alikuwa nayo 100,000/= kama rafiki yake kaomba nimsaidie 50,000/= tu

...hivyo ili asije niona mkono wa birika au mwanaume bahari kweli nimempa hiyo 50,000 aliyoitaji,,,,,na hapa namcheki mshikaji wangu fulani anikope 30,000/= wasije kukata maji wapuzii wa iruwasa ... Japo roho imeniuma sanaaa na kwa kweli kwa namna fulani nimejidharau sanaa kwa maumizi yangu ila nimejifariji kwa kujiambia nikisha piga hii pisii naisukumia huko siiitakii tenaaaaa nimesema ...
😂😂
 
Si pekeako. Mm mwenyewe mwanzoni mwa hii 2024 nimetoka zanzibar mpk mombasa kenya kwa ajili ya mwanamke wa kibajun nimetumia karibu 1 million hapa bado kuna deni nadaiwa na mambo tele ya muhimu ningeweza kufanya kwa pesa hio lkn sikufanya nikaenda kuiteketeza huko. Japo huifikiria lkn nimepata kuonana nae pia nimeweza kutembelea mji huo
Na vipi ulimkamua vzr au ilikuwaje
 
Hauko peke yako ,,, IRUWASA walinipa bill ya maji mapema tu kwa njia ya sms wakinitaka nilipe bill ya maji kiasi cha sh 34,400/= kabla ya tarehe 25 ili kuepuka usumbufu utakao jitokeza .. siyo kwamba sikuwa na pesa mbaka muda huo nasoma hii mesegi lakini akili ya yangu ikawa nzito kufanya maamuzi ya kwenda kulipa ... Juzi nikiwa napita maeneo ya Chuo cha RUCU nikakuta na binti mmoja mzuri ambaye alifanikiwa kuiteka akili yangu hata kunipelekea niombe namba ili tufamiane zaidi ... Haulaa leee salalee

Kumbe binti kodi yake ilikuwa inakaribia kuisha chumba akaacho ni sh 50000 ( kwa mujibu wake ) na yeye alikuwa nayo 100,000/= kama rafiki yake kaomba nimsaidie 50,000/= tu

...hivyo ili asije niona mkono wa birika au mwanaume bahari kweli nimempa hiyo 50,000 aliyoitaji,,,,,na hapa namcheki mshikaji wangu fulani anikope 30,000/= wasije kukata maji wapuzii wa iruwasa ... Japo roho imeniuma sanaaa na kwa kweli kwa namna fulani nimejidharau sanaa kwa maumizi yangu ila nimejifariji kwa kujiambia nikisha piga hii pisii naisukumia huko siiitakii tenaaaaa nimesema ...
Wengi hawatatoa shuhuda zao ila wanachosema kinatokea sana kwa wanaume kamili. reglet inakuja baadae, sasa wengine wanmewekeza majumba na magari, tena wanapigwa chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom