Umenidatisha,niPM nikuhongeMmmmh wewe nawe
Mbona unafunga pm wwMwanaume kuwa mwanamke ni dalili ya ushoga
Ahhahaha nibebishe hapahapa JukwaaniMbona unafunga pm ww
sina patina...[emoji2][emoji23]umenikumbusha chenja ya jkt
Hili lijamaa linanikera sana humu huyu jamaa ni mwanaume na si mwanamke kama inavyo dhaniwa na watu na hii kitu imenikera sanaMwanaume kuwa mwanamke ni dalili ya ushoga
Hilo dumeSema kweli huyo ni Dume kumbe.
Hapana Demiss uyu si Da vinc trust mi Da vinc hawez kuwa na tabia za kishoga kama uyuIla wewe unafanana mwandiko na Da vinc
Shukran sana shemeji umenena vyema
Saint ivuga hapa tutabishana mpaka kesho uyo jamaa namjua hata picha yake naijuaNi mwanamke huyu.
Msiwe na shaka naye.
Nakafahamu nishawahi kukafundisha sehemu flan kakanipa mambo.
Kalikuwa kanapenda sana mambo ya ict. Na stori zake nyingi zilikuwa kusoma ICT. Computer Science na vitu kama hivyo.
Nilipoteana nako nilipotoka nje ya nchi.
Naomba kanitafute pm nina salam zake tamu.
Naaam umenena vyemaHapo zamani za kale mjukuu wa chifu ilikua ID yenye jinsia 'me' ghafla bin vuu ikageuka ikawa na jinsia 'ke'.
Na utafiti usio rasmi unaonyesha ID zinazojifanya za kike na mstari wa mbele kutupia picha zao humu huwa kuna wanaume nyuma ya keyboard.
Mbn umeandika kwa uchungu sana [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]Hili lijamaa linanikera sana humu huyu jamaa ni mwanaume na si mwanamke kama inavyo dhaniwa na watu na hii kitu imenikera sana
Kuona huyu jamaa ana jibebisha humu kama mtt wa kike
Sasa jiran yangu ebu fikiria leo hii mim nije na id mpya eti nimpumbaze Demiss huu si ujinga sasa kabisaa jamanMbn umeandika kwa uchungu sana [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]