Hahahahahahha haloo tajijuSema kweli huyo ni Dume kumbe.
Khaa unajisumbua.au hujui mfugaji huwa na jogoo moja makoo wengi[emoji2] [emoji2]Ntakusemea kwa mama mwenye nyumba
[emoji848][emoji848] [emoji848] [emoji848] Aiseee.Muulize id yake ni ipi
Kwani Da vinc hajawahi kujulikana kama mi Me au Ke hadi leo.Ila wewe unafanana mwandiko na Da vinc
Ni Pm tafadhali.Hahahahahahha haloo tajiju
Duh!si mchezoNdio ni wewe ukibisha semaaa
Nifafanulie sijaelewa mkuu....Mwanaume kuwa mwanamke ni dalili ya ushoga
Ya mawasilianoYa kazi gani?
???Mwanaume kuwa mwanamke ni dalili ya ushoga
Dah!! kama sabuni ya roho vile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angeweka picha mwanaume wajinga wangekuja juu na kumuambia aache maswala ya facebook.
Watu washenzi sana