Ni mimi mjukuu wa chifu

Ni mimi mjukuu wa chifu

Kama hizo ni picha zako bas hiyo id unayotumia haiendani naww,leo ndo nimejua kumbe kuna watoto standard gauge humu...anyways ngoja vibungo vije na vijembe..
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu stabdard gauge ndo viumbe vya aina gani
 
27750563_1981012368830350_1261055481523012150_n.jpg

27336497_1979001432364777_171892742042494491_n.jpg

25659488_1959480374316883_9008139487831032324_n.jpg

25994616_1957132204551700_3840682079892596588_n.jpg

24174714_1948357402095847_4632401010436442932_n.jpg

18301661_1857639784500943_7367479474803910074_n.jpg

17155537_1826741470924108_2424088436117253546_n.jpg

14390654_1750517665213156_439412442541582378_n.jpg
Natafuta Chuo kizuri cha kozi ya IT ADA LAZIMA IPATIKANE
 
Mwanaume kuwa mwanamke ni dalili ya ushoga
Ni mwanamke huyu.
Msiwe na shaka naye.

Nakafahamu nishawahi kukafundisha sehemu flan kakanipa mambo.

Kalikuwa kanapenda sana mambo ya ict. Na stori zake nyingi zilikuwa kusoma ICT. Computer Science na vitu kama hivyo.

Nilipoteana nako nilipotoka nje ya nchi.

Naomba kanitafute pm nina salam zake tamu.
 
Kama hizo ni picha zako bas hiyo id unayotumia haiendani naww,leo ndo nimejua kumbe kuna watoto standard gauge humu...anyways ngoja vibungo vije na vijembe..
usiiamini jf lolote linawezekana
 
Nilichogundua humu. Ni kitu kimoja. Kuna baadhi ya Wanawake humu wanawivu sana. Tena sana...

MJUKUU WA CHIFU kapost picha zake kuna vianamke vinaanza kusema eti huyu ni mwanaume.. Kisa wewe unasura ya ajabu ajabu. Weka na wewe picha zako...

Acheni kuweka profile za wanawake ambao hata hawaendani nawe
..

Nawaona tu
 
Back
Top Bottom