Si ngome ya CCM sema ya Magufuli.Mıkoa yote ya Ugunja, Ruvuma,Lindi,Mtwara,Pwani,Tanga.Mingne ni Njombe,Iringa,Moro,Dodoma,Singda,Taboro,Rukwa,Katavi,Sımiyu,Shy,Geita,Rocky City,Mara na Kagera.Ukawa hata waroge vp hawawezi kumshnda Magu mikoa hiyo.
Naomba mnijulishe ni mikoa gani hadi sasa ambayo CCM ina ngome imara ya kupata ushindi mkubwa. Yaani hupendwa sana na wananchi?? Binafsi sioni kwamba ni mikoa gani..
Nitajie mbunge mmoja ambae alitoa hela za mfukoni mwake akajenga barabara angalau kilometa tano za lami. Nitajie Mbunge ambaye ametoa hela akaleta Umeme kwa hela za mfukoni mwake. Mbunge kazi yake kubwa ni kutoa kero za wapiga kura, wajibu wa huduma kwa wananchi ni Serikali kuu au zile za mitaa. Kikatiba, kazi za mbunge siyo kuisifia serikali, bali ni kuishauri na kuisimamia serikali.!
Endeleeni tu kijidanganya kuongoza kwa maneno kwa wabunge wa upinzani watakaopita mwaka huu wasipojirekebisha wananchi wakawachoka ndo watakua wamejichimbia kaburi wenyewe. Ishu sio tu kuoa hela kufanya mambo makubwa hata madogomadogo tu yanatosha mbona wapo kama Filikunjombe wanasaidia kwa sehemu kubwa tu wao kama wabunge.
Kilimanjaro wananchi wanachangia na kushiriki shughuli za maendeleo vizuri sana leo maeneo mengine ndo wasifanye chochocte wasuburi tu serikali nchi itaendelea lini?
pwani,lindi,morogoro,geita,katavi,ruvuma,dodoma,tabora,mara,shinyanga,simiyu,mtwara na tanga wataongoza kwa 85%
Sio sahihi Lindi tangu 2010 ilichagua mbunge wa Cuf Mhe Salum Barwan.
Hadi mud huu ninaamini Ccm inashinda
Dodoma
Morogoro
Kigoma
Tabora
Ruvuma
Katavi
Geita
Simiyu
Unguja
Iringa
Lindi
Rukwa
Kagera
Kuna mkoa wowote hapa nchini ccm haina ngome?
Nilikuwa Ninawasiwasi Na Songea Aisee Mziki Waliounyesha Sio Wa Kitoto