Kaka urais wa kwenye mtandao mshapata. Ndo maana hata hotuba yenu mlisema itawekwa kwenye mtandao. Kanda ya ziwa, kati, kusini, mashariki na nyanda za juu 80% ni Magufuli. Ukawa ni kanda yenu ya kaskazini tuuu. Hatuchagui mwizi na kapi lililojichokea likaangukia chagadema chama cha mtei na mkwilima Mbowe. Ccm makini hata mtoto wa mwanzilishi makongoro alibwagwa maana wanachagua kwa sifa.You are sick...!!! or Brain tumor...or akili zako haziko kichwani... ziko kuleeee Ma CCM akili zao ziliko... mmezikalia...!!!