Ni mikoa ipi hadi sasa ni ngome ya CCM??

Ni mikoa ipi hadi sasa ni ngome ya CCM??

kwa wale wakimbiz lak 8 walio pewa uraia ili waichaguwe ccm
 
Naomba mnijulishe ni mikoa gani hadi sasa ambayo CCM ina ngome imara ya kupata ushindi mkubwa. Yaani hupendwa sana na wananchi?? Binafsi sioni kwamba ni mikoa gani..

usipate taabu.angalia tu ile mikoa ambayo iko nyuma kimaendeleo na kielimu. na bado tu wanaishabikia ccm izidi kuwatesa.
 
CCM bila ya kuiba kura haiwezi kupata ushindi popote
 
Uloi nga mâché68;14042734 said:
Tanzania yote ni ngome ya CCM. Wenye akili timamu tutamchagua Dr John Magufuli






QUOTE=swissme;14042577]Msonga.

swissme
[/QUOTE]

Mlipimwa lini na wapi? Weka picha
 
Ngome zetu mbili kama kawaida DODOMA(makao makuu),na LUMUMBA tunapotengenezaga filamu zetu za masabuni.
 
Back
Top Bottom