Ni mikoa ipi hadi sasa ni ngome ya CCM??

Sio sahihi Lindi tangu 2010 ilichagua mbunge wa Cuf Mhe Salum Barwan.

Mkoa maana yake sio jimbo au mji, Lindi ina majimbo mangapi wabunge waupinzani walikua wangapi, jibu ya hilo ndicho kinachoitwa ngome ya chama fulani.
 
Watanzania watambue kwamba CCM iliyopo sio ile ya mwl Nyerere.CCM ya Nyerere ilizikwa rasmi siku azimio la arusha liliposulubishwa.wengi waliobaki kuishabikia ni wale wafuasi wa Nyerere wakidhani bado ccm aliyoacha Nyerere ipo.mara watakapojua ukweli nakwambia hiyo mikoa michache iliyobaki na hiyo ccm ya kisanii watahamia upinzani.Ni suala la elimu tuu.
 
Kwa hali ilivyo sasa ccm hawana ngome mkoa wowote. Wanatishatisha tu na ahadi zao zisizotekelezeka za nitajenga, nitajenga, nitajenga bila kujali ni wangapi wenye kuhitaji kujenga huko.
 
Sio sahihi Lindi tangu 2010 ilichagua mbunge wa Cuf Mhe Salum Barwan.

Unaelewa maana ya ngome? Mkoa wa Lindi una majimbo mangapi? CCM wanayo mangapi na upinzani mangapi? Unachekesha kweli ya unapinga hoja kwa mfano wa jimbo moja tu
 
Back
Top Bottom