famicho
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,234
- 2,962
toka uko mwanza ip unayosema? Umefirisika akiri
😀😀😀
Hapa kaz tu
toka uko mwanza ip unayosema? Umefirisika akiri
naomba mnijulishe ni mikoa gani hadi sasa ambayo ccm ina ngome imara ya kupata ushindi mkubwa. Yaani hupendwa sana na wananchi?? Binafsi sioni kwamba ni mikoa gani..
jumla ya watu wote maeneo hayo ni 40,000 tu watu 35000 wanampigia lowassa!!bagamoyo,fukayosi,kiwangwa,msata,msoga,chalinze
Kwa mkoa wa Singida kama UKAWA watabahatisha kushinda basi ni jimbo moja tu la Tundu Lisu naye afanye kazi kubwa na hata kama atapata miaka 5 ndo itakua mwisho wake maana wananchi watakuja kustuka hana lolote la maendeleo zaidi ya porojo anachelezesha maendeleo kwa mengi sera zake za kuzuia wananchi kuchangia shughuli za maendeleo
Umesahau mbeya na kigoma
Hakuna labda Pema.
Nitajie mbunge mmoja ambae alitoa hela za mfukoni mwake akajenga barabara angalau kilometa tano za lami. Nitajie Mbunge ambaye ametoa hela akaleta Umeme kwa hela za mfukoni mwake. Mbunge kazi yake kubwa ni kutoa kero za wapiga kura, wajibu wa huduma kwa wananchi ni Serikali kuu au zile za mitaa. Kikatiba, kazi za mbunge siyo kuisifia serikali, bali ni kuishauri na kuisimamia serikali.!
Weeeeee mbeya ni ishu ingine. Hakuna ccm kule
ccm wakiongoza basi ni majimbo 10, nje ya hapo watakosa yote
😀😀😀
Hapa kaz tu
Kiukweki kabisa kutokana na kampeni zinavyoendelea.....mpaka sasa sijaona ngome imara ya ccm.....nimeshangaa kuona 99% ya mikoa inamsupport Lowassa kwa nguvu zote.hii inaashiria ushindi mkubwa wa Lowassa.
pwani,lindi,morogoro,geita,katavi,ruvuma,dodoma,tabora,mara,shinyanga,simiyu,mtwara na tanga wataongoza kwa 85%