Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,832
sina haja ya kudanganya my lady,Wewe unamdanganya huyu kindevu Dr. Mwigulu Nchemba ajione yumo kumbe mweupe kabisa - Mpaka polisi wanaenda kutoa kero kwake, we kuweza?![]()
mambo yote mbona yapo hadharani aise?
kazi ya serikali sikivu ya CCM inaonekana wazi wazi kwenye maisha ya wananachi kupitia utekelezaji wa ilani bora kabisa ya CCM inayosimamiwa na Dr.Samia Suluhu Hassan & Dr.Emmanuel Nchimbi pamoja na waziri mkuu Dr.Mwigulu Nchemba,
unless una chuki binafsi dhidi yao, then unaweza kuablind kisiasa hata ufikie mahali maendeleo yanayoonekana useme huyaoni. Na hiyo ni kawaida kwa baadhi ya binadamu ambapo hata mtoa hoja naona kama una hivyo vielement vya ubishi wa kupinga kilicho dhahiri.
Tuwapongeze na Tuwaombee viongozi wetu kwa Mungu waendelee kuchapa kazi ya maendeleo


