tume jaji chande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Haki za Binadamu: Umoja wa Ulaya waendelea kuibana Tanzania kuwajibika kwenye matukio ya Uchaguzi wa 2025

    Wakuu, Yaani akisimama nchale akikaa nchale, hakuna kupumbua, ni mwendo wa kula mabanzi back to back mpaka kieleweke! Ila haya yote ameyataka mwenyewe, kila kitu ameshauriwa lakini wapiii, sikio la kufa! Hapo bado hujaangalia upinzani wa ndani. Badala yake anajaza watu wa nyumbani kwenye...
  2. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania CHADEMA baada ya kufeli kwa Vita yenu dhidi ya Tume ya Jaji Chande, Mmeamua sasa kuja na Maigizo yenu ya kutekana

    Friends and Our Enemies, Tulishawaeleza Chadema na wana harakati uchwara ambao walishiriki kwa kiasi kikubwa kuhamasisha fujo na vurugu kabla na baada ya uchaguzi mkuu ya kwamba hawatoboi. Pamoja na kwamba chadema walipata nguvu kubwa kutoka kwa baadhi ya makanisa na wanaharakati uchwara ndani...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025 yaongezewa muda mpaka Aprili 3, 2026

    Wakuu, Mambo magumu huko😂🤣🤣, hesabu naona kama zile ya Yanga, hata na kalkuleta bado ngoma mbichiiiii! Hivi kesi ya Lissu inaenda mpaka tarehe ngapi tena?🌚 Jamaa bado anagoma kuingia kwenye Maridhiano ya mchongo? Maana za ndaaaaaaaaani zinasema Lissu ameshafuatwa gerezani zaidi ya mara moja...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ni miezi mitatu toka Rais Samia ateue Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, nini matarajio yako? Je, tunaelekea pazuri?

    Wakuu, Ni miezi mitatu sasa (siku 92 tukiwa precise) toka Samia afanye uteuzi wa Tume ya Kuchunguza 'matukio' ya Oktoba 29, 2025, akisema hajui kwanini tuliandamana kugomea uchaguzi, wa kina nani waliua watu vile na kwa amri ya nani :BearLaugh::BearLaugh: Dunia ina mambo, anyhu.... Hii...
Back
Top Bottom