mauaji oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea Rwanda na Oktoba 29 Tanzania unaweza shangaa wahusika wanakuja kuelezwa wakiwa wazee kabisa

    Mchuzi wa mbwa kunywa wa moto. Leo tumeona Congo suala Patrice Lumumba na wahusika wake wa mwisho kafa mzee kabisa. Tuje upande wa Rwanda napo ni vile vile. Wakubwa wa hayo matukio wanapatikana wakiwa wazee sasa. Na hapa Tanzania usije shangaa kaomba msamahaa kwenye kitabu kabla ya kufa.
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Aida Khenan: Aliyesema Polisi waue Oktoba 29 ni nani? Sisi ndio tunamtaka huyo...

    Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Rukwa, Aida Khenani, amewataka wananchi kutowalaumu askari wa chini kwa vifo vilivyotokea Kyela Oktoba 29, bali kuhoji mamlaka iliyotoa amri ya matumizi ya nguvu. Akihutubia mkutano wa hadhara Kyela Juni 7, 2026, amesema CHADEMA inalenga kuwawajibisha waliohusika...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Peter Msigwa: Mtoto wangu aliniuliza kama angeuawa Oktoba 29, ningeendelea kusema idumu CCM?

    Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa kupitia kituo cha Redio cha Nuru FM, amesema; "Mimi ni mtu wa kusema haki, mimi ni mtu wa kunyosha maelezo, mtu wa kusema ukweli. Sasa kuna vitu ambavyo naona nikiwa upande huu, ile umimi nashindwa. Naanza kuwa bata wakati natakiwa niwe tai. Sasa hii dunia...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Madeleka: Matukio ya Oktoba 29 yale ni Mauaji siyo Vurugu, kuzungumza Vurugu ni kudogosha “Mauaji”

    Wakili Peter Madeleka akiwa kwenye Mjadala wa Kitaifa kuhusu hatma ya Nchi uliofanyika leo Mei 16, 2026 amesema; "Nchi yetu ipo kwenye msiba. Na kwa mara ya mwisho tangu mwaka 1907... mwaka 2025 nchi imeshuhudia mamia ya Watanzania wakiuawa bila sababu za msingi na bila uwajibikaji wowote...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Wanatapatapa mpaka wanaiombea Tume ya Chande Dua! Watanganyika hatutakubali hiyo ripoti ya mchongo!

    Wakuu, Baada ya kiki kubuma na watu mbalimbali ikiwemo viongozi kuanza kusifia matokeo ya tume ya Chande kabla haijatoka sasa wamekuja na kuiombea dua tume hiyo!😂😂 Aloo, watu wanatapatapa kama wamekatwa vichwa, yaani kwa udhalimu na mauji waliyofanya wanadhani Watanganyika tutakubali kitu...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ni miezi mitatu toka Rais Samia ateue Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, nini matarajio yako? Je, tunaelekea pazuri?

    Wakuu, Ni miezi mitatu sasa (siku 92 tukiwa precise) toka Samia afanye uteuzi wa Tume ya Kuchunguza 'matukio' ya Oktoba 29, 2025, akisema hajui kwanini tuliandamana kugomea uchaguzi, wa kina nani waliua watu vile na kwa amri ya nani :BearLaugh::BearLaugh: Dunia ina mambo, anyhu.... Hii...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: DW waachia Ushahidi mpya juu ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho hakikusimuliwa - vifo vya watu ambao idadi yao bado haijulikani, miili iliyotoweka, na tuhuma za...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Askofu Rweyongeza: Kuna watu na makundi yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga mkoani Kagera, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, amesema kuna watu na makundi katika jamii ya leo yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja, akifananisha tabia hiyo na akina Herode waliokataa kumpokea Yesu Kristo, Mfalme...
Back
Top Bottom