matukio oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Bado hatujamsikia Rais akisema neno 'Samahani' kwa yaliyotokea

    Wakuu, Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake. "Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo: Tulidhani yaliyotokea Oktoba 29, yangekuwa mwisho, lakini baada ya hapo vitendo vya utekaji vinaendelea

    Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amesema matukio ya utekaji nchini yameanza kuwa jambo la kawaida, akieleza kuwa yanapaswa kukemewa kwa nguvu zote. Amesema ingawa waathirika wa matukio hayo pamoja na familia, marafiki na majirani zao huumia, bado...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere: Kuna 'fundamental ignorance', tunatafuta suluhu mahali ambapo suluhu haiwezi kupatikana matukio ya Oktoba 29

    Andrew Nyerere ambaye ni Mtoto wa Mwalimu Nyerere anaeleza haya kupitia akaunti yake ya Facebook -- Hapa nadhani kuna fundamental ignorance kuhusu matatizo yanayotukabili. Fundamental ignorance maanake tunatafuta suluhu mahali ambapo suluhu haiwezi kupatikana. Ni kama tu kutafuta dirisha mahali...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maduhu: Nilikagua Hati za Mashtaka 1,651, sikukuta Mtu kutoka Nje ya Nchi, Matukio ya Oktoba 29

    Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu, amesema hawakuona ushahidi wowote unaoonesha kuwa vijana kutoka nchi jirani walikodiwa kuja kushiriki katika maandamano yaliyofanyika nchini mwaka jana Oktoba. Maduhu ameyasema hayo Mei 16, 2026, katika Mjadala wa Kitaifa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wampongeza Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi Matukio Oktoba 29

    Wakuu, Nilivoona hii habari nikakumbuka sauti ya Mange Kimambi 'issue iko deep' 😂 😂 😂 😂 😂 --------------- Wananchi wamempongeza Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa kuunda tume maalum ya kuchunguza matukio ya vurugu yaliyojitokeza kabla na baada ya Oktoba 29, 2025, wakieleza kuwa hatua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 yaongezewa Muda tena hadi Aprili 24, 2026

    Mamlaka ya Uteuzi imeridhia maombi ya muda wa ziada kwa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 hivyo imeiongezea tena muda wa siku ishirini na moja (21) na kuitaka ikamilishe kazi kabla au ifikapo Aprili 24, 2026. Mamlaka hiyo imeeleza...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwananchi: Nilizungumzia haki kuelekea uchaguzi Oktoba 29, ikaniletea shida kutafutwa hadi nyumbani kwa wazazi wangu, nikaenda uhamishoni wiki 3

    Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, kijana mmoja amehoji uwazi wa kuzungumza akielezea changamoto aliyopata kutafutwa baada ya kutoa kauli Oktoba 22, 2025 "...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ni miezi mitatu toka Rais Samia ateue Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, nini matarajio yako? Je, tunaelekea pazuri?

    Wakuu, Ni miezi mitatu sasa (siku 92 tukiwa precise) toka Samia afanye uteuzi wa Tume ya Kuchunguza 'matukio' ya Oktoba 29, 2025, akisema hajui kwanini tuliandamana kugomea uchaguzi, wa kina nani waliua watu vile na kwa amri ya nani :BearLaugh::BearLaugh: Dunia ina mambo, anyhu.... Hii...
Back
Top Bottom