Ni miezi mitatu toka Rais Samia ateue Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, nini matarajio yako? Je, tunaelekea pazuri?

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Wakuu,

Ni miezi mitatu sasa (siku 92 tukiwa precise) toka Samia afanye uteuzi wa Tume ya Kuchunguza 'matukio' ya Oktoba 29, 2025, akisema hajui kwanini tuliandamana kugomea uchaguzi, wa kina nani waliua watu vile na kwa amri ya nani :BearLaugh::BearLaugh: Dunia ina mambo, anyhu....

Hii inamaanisha wakati wowote kutoka sasa tume itakuja mbele kutueleza nini kilitokea pamoja na kutoa mapendekezo yao, ili "KULIPONYA TAIFA".

Toka uchaguzi ufanyike, kesi ya Lissu inayoendelea, viongozi 'wa mchongo' kuapishwa, comments za Samia na viongozi wengine juu ya hali ya usalama nchini, mashambulizi kwa viongozi wa dini hasa Wakatoliki, figisu zinazoendelea kwa CHADEMA, matukio ya polisi kuendelea kukamata watu bila kufuata taratibu na sheria, viongozi kusema "Maridhiano ni Hiyari" huku wakisema hatuwezi kusonga mbele kuridhiana, "WHO ARE YOU"......

Unadhani Tume ya Chande itakuja na matokeo gani? Kutakuwa na mwangaza wa maridhiano na kuponya majeraha ya Watanganyika kutokana na mauaji ya raia? Usalama utarejea nchini hata waliokimbia makazi yao kwa kuhofia usalama wao waweze kurejea nchini bila wasiwasi? Vipi kuhusu waliokamatwa mpaka sasa wakishikiliwa kwa kosa la "Uchochezi"? Viongozi watapata legitimacy ya kuendelea kutawala? Polisi kukamata raia ovyo bila kufuata utaratibu itakoma? Lissu ataachiliwa huru na CHADEMA kuendelea na shughuli zao? Kubwa zaidi Polisi WALIOUA raia watawajibishwa?

Nini matarajio yako juu ya Tume hii ya Uchunguzi?
 
Kama taifa tupo pazuri, tunafanya vizuri sana na tunaelekea pazuri zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi.
Tume ya jaji Chande inaelekea kuhitimisha kazi yao muhimu zaidi waliopewa kuifanya na mkuu wa nchi.

Ni muhimu sana kama taifa,
kuungana pamoja kuiunga mkono serikali sikivu ya CCM na kwakweli kuwapongeza na kuwaombea kwa Mungu viongozi wetu wote wa kitaifa, kwa ile kazi nzuri sana wanafanya kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

well done Dr.Samia Suluhu Hassan & Dr.EmmANUEL Nchimbi, well done PM Dr.Mwigulu Nchemba:KasugaYeah:
 
Kama taifa tupo pazuri, tunafanya vizuri sana na tunaelekea pazuri zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi.
Tume ya jaji Chande inaelekea kuhitimisha kazi yao muhimu zaidi waliopewa kuifanya na mkuu wa nchi.

Ni muhimu sana kama taifa,
kuungana pamoja kuinga mkono serikali sikivu ya CCM na kwakweli kuwapongeza na kuwaombea kwa Mungu viongozi wetu wote wa kitaifa, kwa ile kazio nzuri sana wanafanya kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Samia alishasema nguvu iliyotumiwa na polisi ilikuwa ni sawa, hivyo hio tume ni maigizo tu, kama movie.
 
nonesense
 
magaidi na mamluki wa vibaraka wa mambwenyenye ya magharibi watakabiliwa na kusambaratishwa kwa nguvu na gharama yoyote ile watakapojitia kimbelembele kupora watu, kuumiza watu, kuleta fujo, kuharibu miundombinu au kujihusisha na matukio mengine yoyote ya kigaidi au uvunjifu wa amani.

vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania walifanya kazi nzuri na kwa weledi kuzima matukio ya mapinduzi na yale ya kigaidi yaliopangwa kutekelezwa na mamaluki malofa ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi :1Head:
 
nini maana ya neno mabwanyenye! :1Head:
 
TUME ITAKUAJA NA MAJIBU YAFUATAYO.
1)CHADEMA na LISU ndio waliokinukisha
2)Diaspora mange kimambi na diaspora wengine ndio waliochochea
3)wanaharakati maria na wengine ndio waliochochea
3)viongozi wa dini kanisa katoliki TEK kitima ndio waliochochea
4)wazazi hawakuwakanya watoto wao
5)walioandamana ni kutoka nji jirani
6)WALILIPWA PESA KUFANYA maandamano
7)MABEBERU walilipa pesa watu
nguvu iliyotumika iliendana na hali iliyokuwepo ,wazazi hawakuwaonya watoto wao..
 
Tusubiri majibu ya tume kivipi hali ya kuwa ye mwenyewe alishatoa majibu akasema nguvu iliyotumika na polisi ilikuwa ni sawa.. alibariki mauaji.

Kuhusu tume ipo kwa ajili ya kuchelewesha mipango ya ICC kuanza kusikiliza hio kesi.
Hili limefafanuliwa jana na Makamu wake Wassira, ametamka mauaji yale yalikuwa sahihi
 
Wakuu,

Ni miezi mitatu sasa (siku 92 tukiwa precise) toka Samia afanye uteuzi wa Tume ya Kuchunguza 'matukio' ya Oktoba 29, 2025, akisema hajui kwanini tuliandamana kugomea uchaguzi, wa kina nani waliua watu vile na kwa amri ya nani :BearLaugh::BearLaugh: Dunia ina mambo, anyhu....

Hii inamaanisha wakati wowote kutoka sasa tume itakuja mbele kutueleza nini kilitokea pamoja na kutoa mapendekezo yao, ili "KULIPONYA TAIFA".

Toka uchaguzi ufanyike, kesi ya Lissu inayoendelea, viongozi 'wa mchongo' kuapishwa, comments za Samia na viongozi wengine juu ya hali ya usalama nchini, mashambulizi kwa viongozi wa dini hasa Wakatoliki, figisu zinazoendelea kwa CHADEMA, matukio ya polisi kuendelea kukamata watu bila kufuata taratibu na sheria, viongozi kusema "Maridhiano ni Hiyari" huku wakisema hatuwezi kusonga mbele kuridhiana, "WHO ARE YOU"......

Unadhani Tume ya Chande itakuja na matokeo gani? Kutakuwa na mwangaza wa maridhiano na kuponya majeraha ya Watanganyika kutokana na mauaji ya raia? Usalama utarejea nchini hata waliokimbia makazi yao kwa kuhofia usalama wao waweze kurejea nchini bila wasiwasi? Vipi kuhusu waliokamatwa mpaka sasa wakishikiliwa kwa kosa la "Uchochezi"? Viongozi watapata legitimacy ya kuendelea kutawala? Polisi kukamata raia ovyo bila kufuata utaratibu itakoma? Lissu ataachiliwa huru na CHADEMA kuendelea na shughuli zao? Kubwa zaidi Polisi WALIOUA raia watawajibishwa?

Nini matarajio yako juu ya Tume hii ya Uchunguzi?
As long as kumetulia na wale MAHAYAWANI waliokuwa wanaiba na kuchoma miundombinu ya Serikali hawatarudi tena, tusonge mbele tu.

Ripoti ikae kwenye kabati kwa ajili ya kumbukumbu tu
 
TUME ITAKUAJA NA MAJIBU YAFUATAYO.
1)CHADEMA na LISU ndio waliokinukisha
2)Diaspora mange kimambi na diaspora wengine ndio waliochochea
3)wanaharakati maria na wengine ndio waliochochea
3)viongozi wa dini kanisa katoliki TEK kitima ndio waliochochea
4)wazazi hawakuwakanya watoto wao
5)walioandamana ni kutoka nji jirani
6)WALILIPWA PESA KUFANYA maandamano
7)MABEBERU walilipa pesa watu
nguvu iliyotumika iliendana na hali iliyokuwepo ,wazazi hawakuwaonya watoto wao..
Na huu ndiyo ukweli mchungu kwa asilimia 💯 %
 
magaidi na mamluki wa vibaraka wa mambwenyenye ya magharibi watakabiliwa na kusambaratishwa kwa nguvu na gharama yoyote ile watakapojitia kimbelembele kupora watu, kuumiza watu, kuleta fujo, kuharibu miundombinu au kujihusisha na matukio mengine yoyote ya kigaidi au uvunjifu wa amani.

vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania walifanya kazi nzuri na kwa weledi kuzima matukio ya mapinduzi na yale ya kigaidi yaliopangwa kutekelezwa na mamaluki malofa ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi :1Head:
Wananchi waliouawa hawakuwa na hatia, wameua vijana wapo nyumbani na familia zao ili kuleta tu taharuki na uoga kwa Watanzania ambao walipinga uchaguzi.

Na hio imekuwa tabia ya muda mrefu, Mzee Ali Kibao alifanya ugaidi gani hadi kumuua na kumtoboa macho?
Polepole alifanya ugaidi gani wa kuharibu miundombinu?

Sativa alifanya ugaidi gani?

Yule dogo aliyechora picha ya rais na kuichoma alifanya ugaidi gani?

Wale wanaharakati kutoka Kenya na Uganda walifanya ugaidi gani?

Mdude Nyagali alifanya ugaidi gani?

The list goes on, kabla ya 29 OCT wameuawa Watanzania mamia, je ndivyo katiba yetu inavyosema kwamba ukikosolewa umvizie mtu na kumuaa kikatili?

Hapo tukisema CCM ni genge la matapeli na wauaji kama vikundi vya kigaidi unakosea? ukisema CCM ni kama anti baraka unakosea?

Nini maana ya kuwepo kwa sheria, nini maana ya mahakama?
 
hakuna mwananchi alieuawa Tanzania na wala hiyo kitu haitaruhusiwa na serikali sikivu ya CCM ambayo kuanzishwa kwake kuna vinasaba na kuheshimu usawa, utu wa kila mwanadamu na haki ya kuishi kwa kila mwanadamu.

Tanzania ina zero tolerance kwa magaidi na mamluki wa aina yoyote ile watakaejaribu au kuthubutu kuvuruga amani ya nchi, kupiga na kuumiza watu bila sababau, kupora mali za watu, kulipua vituo vya mafuta na kuchoma ofisi za umma na nyumba za wananchi au kuharibu miundombinu ya umma au binafsi.
Magaidi kama hao hawatavumiliwa nchini bali watapeleka zawadi za huzuni makwao kwenye familia zao.

waambie na mamaluki wenzako bila kificho kuhusu hili :1Head:
 
Nimekuuliza hao Watanzania waliotekwa na kuuawa kikatili, ndivyo sheria inavysema? mahakama hakuna?

Je wananchi na wao wakiamua kutotumia njia ya mahakama na kufuata sheria kuna shida?
 
Gentleman,
kudhibiti na kusambaratisha magaidi ni ni kipaumbele na wajibu muhimu sana wa dunia nzima,
Tanzania na jumuiya ya kimataifa haviwezi kucheka wala kuwaone haya magaidi wanaopanga au kutekeleza uharibifu wenye madhara kwa wananachi.

Na,
kuwaangamiza na kuwatokomeza kabisa bila huruma tena kabala ya kuleta madahara zaidi ni wajibu muhimu zaidi wa mamalaka husika kote duniani, na hiyo ni kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
ni vizuri ukafahamu hilo gentleman :1Head:
 
Nimekuuliza to mention the few ,Ali KIbao, Sativa, Mdude, Polepole walifanya ugaidi gani? unaelewa maana ya ugaidi? mahakama hazikuwepo kuwapeleka huko? nini maana ya kuwepo kwa sheria na mahakama?
 
Wananchi waliouawa hawakuwa na hatia, wameua vijana wapo nyumbani na familia zao ili kuleta tu taharuki na uoga kwa Watanzania ambao walipinga uchaguzi.
Kwanini upinge uchaguzi? The best way ni wewe kutoshiriki uchaguzi. Kupinga uchaguzi kwa njia isiyo ya Mahakama ni uhaini
 
Back
Top Bottom