Some tea vzr ukiwa umetuliahuu uzi nadhani uliletwa humu special kwa ajili ya wanawake nikiangalia heading na hauwahusu wanaume kabisa
kuna demu nilimsafirisha from Arusha to Mbeya,,,nilikula K kwa wiki mbili then akarudi,,mahusiano hayakudumu sana maana alipenda sana ela na mm nilikua hali mbaya..hivi wanawake hawafuatagi dudu? au maana sija0na mrejesh0 kabisa #akati na wao wap0 vizuri kwenye kuibuka kambini
sasa nashangaa awaleti mrejesho #mwana hapo mwisho umeua yani umelipua neno kama lilivyokuna demu nilimsafirisha from Arusha to Mbeya,,,nilikula K kwa wiki mbili then akarudi,,mahusiano hayakudumu sana maana alipenda sana ela na mm nilikua hali mbaya..
NB,,ni yeye alinitongoza facebook,,,ila kabla ya kuja mbeya tulikuja kuonana Arusha kwenye semina ndo baadae akaj nikaanza kumttomba
Teh teh teh malizia storiDem yuko Arusha mimi niko Tabora (kilometa zaidi ya 700). Tumeongea vizuri kwenye simu tumeelewana. nimefunga safari kutoka kule hadi chuga. Nipo stendi nampigia simu ananijibu " Hee.. Mungu wangu.. umekuja kweli..? Mi nilijua utani..!"
Weweee.. HaisusiwiNiko kwenye mwendokasi narudi zangu home.
Kuna demu mshenzi mmoja nimeweka naye appointment leo aje kimara.
Kufika kimara ananiletea hadithi kwenye simu eti ana Emergency hatoweza kuja na simu amenizimia nikipiga haipatikani.
Na sio mara ya kwanza kufanya huu upuuzi wake.
Nimefuta namba zake na nimemwambia afute zangu na asinitafute tena.
F***k her
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri ya mwaka mpya kwa mara nyingine tenaKutoka nyanda za juu kusini mpaka Dsm
Halafu tena the same tamtam, nikasafiri mpaka Singida
Nampenda sana huyu mdada, najipanga tena kumfunigia safari.
Mwishowe ikawaje?Dem yuko Arusha mimi niko Tabora (kilometa zaidi ya 700). Tumeongea vizuri kwenye simu tumeelewana. nimefunga safari kutoka kule hadi chuga. Nipo stendi nampigia simu ananijibu " Hee.. Mungu wangu.. umekuja kweli..? Mi nilijua utani..!"