Kuna demu anaishi mbeya, nikamsomesha akasema dar mbali hawezi kuja tukutane iringa- alikuwa ni mke wa MTU
Nikajua demu anatania,nikaachana naye. Akasisitiza kuwa ni kweli na kuthibitisha Hilo, akatuma picha zake za utupu na kuahidi kuwa hawezi zingua.
Siku ya siku ikafika,mzee Baba nikaingia basi la upendo huyooo iringa.nikafikia kalenda hoteli kimya, pigia simu demu hapokei, saa mbili usiku anapiga simu anasema amekuja na familia yake,mme wake amechoka amelala anaweza kuja kuniona mara moja, nikamwambia aje (ili nijue kweli kama amesafiri asije kuwa ananizingua.) Baada ya nusu SAA nikiwa nimebana mahali nikaona taxi inaingia anashuka dada mmoja matata,kumcheki ni yeye. Nikafanya intelijensia kujua kama ni mtego nikaona sio,nikamkaribisha rum, Ile dk 45 nilivyokuwa naye sitakuja isahau maishani mwangu. Ilipigwa game moja matata Sana. Then akaondoka SAA nne hivi usiku.
Nikifikiria ilikuwaje Hadi nikasafiri kufuata hiyo kitu sipati jibu kabisa.
Sent using
Jamii Forums mobile app