Ni mgegedo upi uliowahi kuufuata mbali?

Ni mgegedo upi uliowahi kuufuata mbali?

Sema safari ndiyo zilizo niliza hela nyingi sitakaa nifanye tena huo ujinga..... Sema anapenda sana kusafiri...


Hapa ni Ghana...
15416029_140634156420369_1121476124_n.jpg


15577593_148507288966389_2090190297_n.jpg


15241878_136333716850413_2228028149312875477_n.jpg


15079007_113970509086734_8173633671325087730_n.jpg
Wabongo mnavyopenda vyuraaa sasa, VIP wewe hupendi una support team flat screen?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna mmoja alikua mteja wangu, sasa katika story za hapa na pale kama masihara nkamwambia nakuja kukutembelea, yeye alkua arusha mi nipo dar, kweli siku nkampandia gari hadi arusha, nikamkuta stand ananisubiri, kanipakia kwenye gari yake hadi kwao, anaishi nyumba nzuri sanaa alafu kubwa, nje kuna gari zingine mbili za maana tu,
Tumeingia ndani namuuliza anaishi na nani akadai anaishi mwenyewe, lkn baadae nkagundua kuna vitu vichache km nguo na sendo za kiume,

Tulikunywa tukafanya yetu hadi saa 9 za usiku, baada ya hapo yeye anakoroma mimi sina usingizi kabisaa, nna hofu ya kufumaniwa nawaza tu inawezekanaje aishi nyumba yote ile peke yake?
Tulikubaliana nikae siku 2 lkn mi kesho yake niliaga, nkajagundua baada pale kajengewa na mme wa mtu aliezaanae mtoto 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisha fuata mbunye ya kidemu flani kizungu hadi Marekani kabla Trump hajaingia madarakani, kile kidemu kilinikula hela zangu, baada ya hapo nikakitoa State hadi Senegal, nikakitoa Senegali kikarudi state mimi nikafungasha zangu nikarudi bongo kwenda kuchungulia salio bank nakuta kuna elfu 60 tu.... wht fck...
Kuna dem ataingia king apa. Maana akili zao ni fupi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu uzi nadhani uliletwa humu special kwa ajili ya wanawake nikiangalia heading na hauwahusu wanaume kabisa
 
Nilimfukuzia huyo bidada nikiwa mwaka wa tatu yeye wa kwanza chuoni lkn sikufanikiwa, ikapita miaka kama mitano nimemtoa kabisa akilini siku moja naona sms kwenye whatsap hamad ni yeye kazidi kuwa mrembo. Story za hapa na pale akasema kapata kazi Arusha na ndiko anakoishi kama vipi naweza kwenda. Ili kupata maujiko nikakomba ka akiba kangu kote kwenye Akaunti huyoo kwenye Fastjet nikafika Arusha, nikapokelewa vizuri tu nikachukua lodge tukiwa wote.Sikuwa na haraka ya kugonga kwa kuwa tulikubaliana nitakaa siku 3, jioni tukatoka out mpaka kwenye saa tano usiku.Baada ya kutoka out nilipewamzigo lahaula! yaani ni Rambo halafu water ni zaidi ya mto Ruvu na rufiji, mwanzoni niliona labda ule ubora sikuupata kwa kuwa nimekunywa castle lite, asubuhi niliporudia nikakuta yaleyale, ikabidi nidanganye kupata dharura ya kurudi,niliishi kwa kujificha na kununua papuchi kwa siku hizo kusubiri tarehe ya booking yangu nirudi.Tangu siku hiyo nilisema sisafiri tena kwa ajili ya papuchi, hawa madem tuwaone tu wazuri kwa nje ila wengine papuchi ni ubora ni zero.
 
Mwanaume lazima apambane kutafuta k, hata wanyama wako hivyo.ukiona k inajileta jua ina kasoro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom