Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,653
- 36,566
Ajabu hawa hawa wakamfingia Diego Maradona kwa kesi za kubumba na kuwaruhusu waliowapiga Mabomu, kumwaga kemikali za sumu kwenye wanyama, miti na ardhi ( Yaani waliwapokea kwa mikono miwiwli watu walio Ua Ardhi, Miti hadi watu baada ya kuchapika )