Ni mapngo maalumu kuweni makini

Ni mapngo maalumu kuweni makini

vipanda thamani

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2022
Posts
567
Reaction score
894
Kuna hilo jambo kwa sasa wengi wanaona la kawaida tu lkn si la kawaida kiivyo ni mpango wa kudhoofisha ukristo, kuna wadada wengi kwa sasa wakristo kuolewa na wakaka ambao si wakristo wengi wanafikiri ni mapenzi tu ya kawaida la hasha kuna mpango maalum wa kudhoofisha ukristo hawa wadada wakiolewa huzaa watoto ambao si wakristo hata vijana wa kiume ukiingia kwa binti ambaye si mkristo bas jua watoto wako hawatakuwa wakristo watahamia kwa mama hyo utake ama usitake hata kama hutaki mzee utasomewa wewe mwenyewe utakubali wadada wakristo nawaonyq sana msione kijana asiye mkristo anataka kukuoa kisa ana vipesa vyake ukashawishika na nguvu ya pesa umepotea na utajuta mbele ya safari,mwanzo sikujua jambo hili liko hivi nawaonya wadada wakristo acheni tamaa ya fedha,biblia imeonya sana usifungiwe nira na asiyeamini shetani yuko kazini kuupoteza ukristo kuweni makini.
 
Kwani kuoana dini tofauti imeanza Leo? Mara ngapi Muslim anaolewa na mkristu na mkristu anaolewa na muislam
Au mara ngapi watu wanabadili dini kulingana na mitazamo yao?
Acha fikra potofu haya maisha yameanza tokea zamani na hakuna kitachobadika
 
Inawezekana hujui tu na mimi niliona hivyo kama wewe nilipokutana na kisa flani hv ndio nilishangaa sana na kufuatilia nikagundua ni agenda maalum ya watu flani hivi kuupoteza ukristo.
 
Hakuna mpango utafanikiwa kuutokomeza ukristo. Ukristo upo miaka na miaka na unazidi kukua. Yan wewe uzae mtoto na binti wa kiislamu halafu mtoto awe muislamu huyo mtoto sio wako. Katafute wa kwako
Ukisoma Biblia Yesu anasema akirudi tena duniani je ataikuta imani?nini maana yake, ni kwamba imani ya kikristo inapotea kila kukicha manabii wa uongo kila konamafundisho potofu ndio yamejaa sikuhz kuwa makini sana miji iliyokuwa ba wakristo wengi inafifia siku hz.
 
Watu wanapambana na maisha magumu, wewe unaleta akili za mpango maalum sijui wa nini!?, au ndo zile changamoto za Afya ya akili!?,., ndoa imekuwa tatizo siku hizi bila kujali dini Wala dhehebu, anakuja mtu analeta story za sijui mpango wa kudhoofisha ukristo, unaishi sayari gani mwenzetu!?,hiihii?
 
Kuna hilo jambo kwa sasa wengi wanaona la kawaida tu lkn si la kawaida kiivyo ni mpango wa kudhoofisha ukristo, kuna wadada wengi kwa sasa wakristo kuolewa na wakaka ambao si wakristo wengi wanafikiri ni mapenzi tu ya kawaida la hasha kuna mpango maalum wa kudhoofisha ukristo hawa wadada wakiolewa huzaa watoto ambao si wakristo hata vijana wa kiume ukiingia kwa binti ambaye si mkristo bas jua watoto wako hawatakuwa wakristo watahamia kwa mama hyo utake ama usitake hata kama hutaki mzee utasomewa wewe mwenyewe utakubali wadada wakristo nawaonyq sana msione kijana asiye mkristo anataka kukuoa kisa ana vipesa vyake ukashawishika na nguvu ya pesa umepotea na utajuta mbele ya safari,mwanzo sikujua jambo hili liko hivi nawaonya wadada wakristo acheni tamaa ya fedha,biblia imeonya sana usifungiwe nira na asiyeamini shetani yuko kazini kuupoteza ukristo kuweni makini.
Huyu ameandika nini!!?
 
Inawezekana hujui tu na mimi niliona hivyo kama wewe nilipokutana na kisa flani hv ndio nilishangaa sana na kufuatilia nikagundua ni agenda maalum ya watu flani hivi kuupoteza ukristo.
Jambo la Mungu wa kweli huwa halihitaji mbinu za kibinadamu........
 
..hata vijana wa kiume ukiingia kwa binti ambaye si mkristo bas jua watoto wako hawatakuwa wakristo watahamia kwa mama..
Duh,
Nikadhani ungewashauri hawa vijana wa upande huu kupiga 3sum kwa wavaa majuba kwa bidii zote ili ku balance mambo?!
 
Ile kitu ni tamu asikuambie mtu ...ile kitu haina dini....
 
Back
Top Bottom