miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Hakuna mchagga anayeweza kufanya upuuzi huo. Hata mapenzi yakiwa kwenye peak kabisa. Labda kyasaka .....a man from chaggaland! Never!
cc: miss chagga
mwanaume wa kichaga hawawezi
Hakuna mchagga anayeweza kufanya upuuzi huo. Hata mapenzi yakiwa kwenye peak kabisa. Labda kyasaka .....a man from chaggaland! Never!
cc: miss chagga
potelea mbali, wacha wamgonge,mwanaume mzima na pumbu zako unakuna nazi? Kwani lazima upikie nazi? Hovyo kabisa.
Hapa ndipo naamini maneno wasemayo mashoga wa dada farkhina kuwa ni mkatili kwa mumewe.
Hahahahaha sitaki ugomvi na wewe eeeh......
sio kapera si unaona beseni la kuogea mtoto pembeni hapo