Ni mapenzi au ushirikina?

Ni mapenzi au ushirikina?

Hatariiiiiii [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mama la mama hua anachukua boxer anazoona zinamfaa anavaa, alichukua mbili na kuondoka nazo, zimeshakua zake.

Ila tukiwa kwenye ugomvi nikijifanya nataka kuchepuka hua sikubaliwi, yaani mpaka ananikuta na kichupa kimejaa vilevile, mleta uzi umenifungua macho.
dah kuna mabinti mafundi kweli labda tayari kashakutengeneza
 
Mapenzi tu Mama acha uoga ww ukija na za mwenzio utasemaje
 
umasema boxer mi alitaka chukua ndomu used kama mara 3 akidai anaenda tupa ila sijawahi kubali huwa nampokonya

yote yanawezekana mapenzi na ushirikina.
 
duh.labda kwel alikua anaenda kutupa mkuu.hahaha
 
akitaka kukuset sio mpk abebane na mguo woote mtu unaelalana nae ajitaji kutumia nguvu wala
 
Mama la mama hua anachukua boxer anazoona zinamfaa anavaa, alichukua mbili na kuondoka nazo, zimeshakua zake.

Ila tukiwa kwenye ugomvi nikijifanya nataka kuchepuka hua sikubaliwi, yaani mpaka ananikuta na kichupa kimejaa vilevile, mleta uzi umenifungua macho.
Kama hukubaliwi katika zama hizi za Magu una bahati mbaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom