Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 62,127
- 156,493
Usicheke ni kwelii hata akazeje mwenyewe analegeazaaaa
Usicheke ni kwelii hata akazeje mwenyewe analegeazaaaa
Heee sasa mm nimekugea laki 9 ya zawadi, Hlf baada ya hapo zawadi unayowaza ww kunipa ukipata hela nyingi ni chocolate aisee, hiyo zawadi Ya chochote naikataaa, Kaa nayo bora usinipe, wanawake cjui mkoje financial servicesPesa ina matumizi mengi mkuu! I don't drink so itakua inaenda kwenye matumizi mengine ya kawaida tu ila lazima na yeye nimnunulie kizawadi kidogo hapo hata kachocolate tuu😉
Kweli aiseeUsicheke ni kwelii hata akazeje mwenyewe analegeazaaaa
Mkuu tarehe hizi si za masikhara ujue! Nitume kweli?😜Nitumie majina yako pamoja na namba nataka nikufanyie kautaratibu kadogo
Kweli tuma PmMkuu tarehe hizi si za masikhara ujue! Nitume kweli?
MfireKwa wale wataalamu wa maneno Hebu tusaidiane ni maneno Gani ukimwambia mtoto wa kike au kiume akiwa kama mpenzi yakamfanya moyo wake usisimke na kukupenda zaidi.
Kama unayo hebu tupia maneno matamu ya kumsisimuaa mpenzi wako kiasi kwamba akasisimka na kukupenda hatari.