Siri 5 ambazo hupaswi kumwambia mwenza wako/mume ama anaetarajia kuwa mwenza wako hata iweje

JITU BANDIA

JF-Expert Member
Feb 5, 2023
2,671
5,996
Sio Kila point ya JITU BANDIA NI BANDIA!

Wahunii!.... Niaaje!
Siku hizi mazee ndoa nyingi zinaishia kuvunjika tu kimasihara...msemo wa rickyboy... kutokana na sababu shazi tu ( nyingi), hususan kutokana na ugomvi ndani baina ya wanandoa.

Japo haipaswi kuwa siri kiviile baina ya wanandoa, lakini kuna baadhi ya vitu kuntu ambavyo mwanamke hapaswi kumwambia mume/mwenza wake, hata kama wanapendana kiasi gani!

Upoo hapo Eeenh!,

Katika jamii yetu hii wakulungwa...
Kuna kamsemo ketu flani hivi..., masikio yasiposikia , moyo hauwezi kukasirika.

Na kama tunataka amani ndani ya familia lazima kutakuwa na matukio magumu..
..na mwanamke anapaswa kusaidia katika utatuzi wa mambo hayo.
Hizi ni nondo 5 za mambo ambayo mwanamke hapaswi kumwambia mume/mwenza/mtarajiwa....
wake taka usitake! Penda usipende!... Ni nyongo mzeeiya...

1. Idadi ya wanaume uliojamiiana nao kabla ya kuonana na mtu wako

Hupaswi kumtonya mpenzi/ kitu chako! Mtu wako wa kiume au mume wako ni wanaume wangapi ulikutana nao kimwili kabla ya kuishi naye.

Sababu ni kwamba unaweza kufikiri hautamkosea mume wako siku sijazo. Na kama idadi ya wanaume uliyomwambia ni wengi anaweza kufikiri wewe ni kahaba au mzinzi na mdangaji! Kuntu!

Kwahiyo, iwapo atakuuliza ni wanaume wangapi ulishawahi kukutana nao kimwili, we cheka tu! Wangu, na umwambie: ''Ebu acha, bana.... tuanachane na hayo, lakini suala la ni wangapi halihusiani na safari ya mapenzi. ".

2. Kusema siri za mpenzi wako wa kiume au mume wako wakati mmoja...ni jau

Ukiulizwa maswali kumuhusu mwanaume, mjibu machache
Usiseme mambo ambayo yanaweza kumfanya mume au mpenzi wako ahisi kwamba sio bora, au ajihisi kuwa mtu mbaya

Usizungumzie kuhusu -ungependa kuwa na uhusiano na mwanaume tajiri kiasi fulani, mwenye uwezo wa kingono kiasi gani, na ni kwa vipi ungependa ampende mke wake..

3. Usimwambie mtu wako kwamba unampenda sana rafiki yako au shemeji yako​

Kiana wote tunafahamu kuwa inawezekana kwa rafiki au shemeji kutaka kukuoa.
Lakini, ni hatari kumwambia mume wako kuhusu wazo hili

Shida ni kwamba mtu wako anaweza kuanza kuwa na mashaka kuhusu tabia zake na vitendo vyako kumuhusu mwanaume huyo, jambo linaloweza kusambaratisha mahusiano yenu kimasihara tu......

4. Usijaribu kumwambia kuwa unamchukia mama yake au familia yake​

Hata kama bi mdashi wake...i mean....
mama mkwe hata awe ni mtu mbaya kiasi gani, usimwambie mtu wako kuwa unamchukia......

Au unaichukia familia yake. Hata kama umekasirika kiasi gani, usijaribu kusema mambo mabaya kuwahusu, au kumuona mtu wako sawa na familia yake....

Kama haupatani na yeyote katika familia ya mume wako, elezea kwa utulivu, ukiwa na matumaini kuwa ataelewa ni kwanini haupatani nao.....

Mume wako pia ataweza kukusaidia kutatua tatizo, na pia itazuwia matatizo mengine ambayo yanaweza kusababisha matatizo makubwa zaidi.

5. Usimtishe mtu wako kuwa utakuja kuachana naye..nomas!

Siku ukijiroga ukamwambia mtu wako kuwa utaachana naye wakati mnazozana, jua ndio mwanzo wa malumbano...
Nakutonya....

Mahusiano yenu mdogo mdoogo....yataanza kukumbwa na misukosuko, wasi wasi na kutoaminiana.
moyo wa imani katika ndoa utakuwa haupo tena na kuona umuhimu wako tena.....

JITU BANDIA... Dribbler 🏀
 
Na hapo tunasema ni mmoja kwa sababu unakuta bikira haipo. Pangekuwa hamna ushahidi wa kuwepo ama kutokuwepo kwa bikra jibu lingekuwa "wewe ndio wa kwanza".
Unafikiri hatujui bas, hizo mbinu zote tunazijua. Tunachofanya ni hivi: kama kuna mmoja ameshapita basi unajiongeza kwamba nikikaza buti na mimi na pita faster
 
Hahahaha hapo kwenye idadi mkiulizaga jibu ni kama sheria "mwanaume mmoja na wewe ndio wapili".
Ambae yupo bikra huwa anasumbua sana, wengi wetu wakali wa showtime akijua yeye ndo mwanaume wa kwanza anakupotezea sababu atapoteza muda mwingi.

Ukishatujibu kwamba ni wa pili. Unajua kabisa fursa ipo, na kama una mpango wa kuoa basi unajiandaa kisaikolojia
 
Heee wewe kweli mchanga kwenye hii field. Wewe unadhani huwa mnauliza kipindi ambacho bado hamjaanza kufanya?
Unakuta mmeshagegedana mpaka mahusiano yamekaa hadi mnaishiwa story ndio hayo maswali ya ajabu ajabu yanakuja.
 
Sawa mnajua ila mnakuwa mnauliza hilo swali kutafuta nini?
Tuseme kumi? Watano? Watatu? Oooh no, ni mmoja aliyenibikiri wa pili ni wewe broh!
Swali ni la kimafia na tunauliza kujua tu kwamba upo sealed au wajanja wameshapita. Lengo ni kuweka malengo kwamba naweza kuweka kambi hapa au nipite na safari hamna kitu
 
Heee wewe kweli mchanga kwenye hii field. Wewe unadhani huwa mnauliza kipindi ambacho bado hamjaanza kufanya?
Unakuta mmeshagegedana mpaka mahusiano yamekaa hadi mnaishiwa story ndio hayo maswali ya ajabu ajabu yanakuja.
Akikuuliza swali kama hilo wakati mmeshagegedana sana, basi tambua anakutafutia sababu ya kuondoka kuhamisha kambi na sababu za msingi za kukuacha hakuna.
 
Sio Kila point ya JITU BANDIA NI BANDIA!

Wahunii!.... Niaaje!
Siku hizi mazee ndoa nyingi zinaishia kuvunjika tu kimasihara...msemo wa rickyboy... kutokana na sababu shazi tu ( nyingi), hususan kutokana na ugomvi ndani baina ya wanandoa.

Japo haipaswi kuwa siri kiviile baina ya wanandoa, lakini kuna baadhi ya vitu kuntu ambavyo mwanamke hapaswi kumwambia mume/mwenza wake, hata kama wanapendana kiasi gani!

Upoo hapo Eeenh!,

Katika jamii yetu hii wakulungwa...
Kuna kamsemo ketu flani hivi..., masikio yasiposikia , moyo hauwezi kukasirika.

Na kama tunataka amani ndani ya familia lazima kutakuwa na matukio magumu..
..na mwanamke anapaswa kusaidia katika utatuzi wa mambo hayo.
Hizi ni nondo 5 za mambo ambayo mwanamke hapaswi kumwambia mume/mwenza/mtarajiwa....
wake taka usitake! Penda usipende!... Ni nyongo mzeeiya...

1. Idadi ya wanaume uliojamiiana nao kabla ya kuonana na mtu wako

Hupaswi kumtonya mpenzi/ kitu chako! Mtu wako wa kiume au mume wako ni wanaume wangapi ulikutana nao kimwili kabla ya kuishi naye.

Sababu ni kwamba unaweza kufikiri hautamkosea mume wako siku sijazo. Na kama idadi ya wanaume uliyomwambia ni wengi anaweza kufikiri wewe ni kahaba au mzinzi na mdangaji! Kuntu!

Kwahiyo, iwapo atakuuliza ni wanaume wangapi ulishawahi kukutana nao kimwili, we cheka tu! Wangu, na umwambie: ''Ebu acha, bana.... tuanachane na hayo, lakini suala la ni wangapi halihusiani na safari ya mapenzi. ".

2. Kusema siri za mpenzi wako wa kiume au mume wako wakati mmoja...ni jau

Ukiulizwa maswali kumuhusu mwanaume, mjibu machache
Usiseme mambo ambayo yanaweza kumfanya mume au mpenzi wako ahisi kwamba sio bora, au ajihisi kuwa mtu mbaya

Usizungumzie kuhusu -ungependa kuwa na uhusiano na mwanaume tajiri kiasi fulani, mwenye uwezo wa kingono kiasi gani, na ni kwa vipi ungependa ampende mke wake..

3. Usimwambie mtu wako kwamba unampenda sana rafiki yako au shemeji yako​

Kiana wote tunafahamu kuwa inawezekana kwa rafiki au shemeji kutaka kukuoa.
Lakini, ni hatari kumwambia mume wako kuhusu wazo hili

Shida ni kwamba mtu wako anaweza kuanza kuwa na mashaka kuhusu tabia zake na vitendo vyako kumuhusu mwanaume huyo, jambo linaloweza kusambaratisha mahusiano yenu kimasihara tu......

4. Usijaribu kumwambia kuwa unamchukia mama yake au familia yake​

Hata kama bi mdashi wake...i mean....
mama mkwe hata awe ni mtu mbaya kiasi gani, usimwambie mtu wako kuwa unamchukia......

Au unaichukia familia yake. Hata kama umekasirika kiasi gani, usijaribu kusema mambo mabaya kuwahusu, au kumuona mtu wako sawa na familia yake....

Kama haupatani na yeyote katika familia ya mume wako, elezea kwa utulivu, ukiwa na matumaini kuwa ataelewa ni kwanini haupatani nao.....

Mume wako pia ataweza kukusaidia kutatua tatizo, na pia itazuwia matatizo mengine ambayo yanaweza kusababisha matatizo makubwa zaidi.

5. Usimtishe mtu wako kuwa utakuja kuachana naye..nomas!

Siku ukijiroga ukamwambia mtu wako kuwa utaachana naye wakati mnazozana, jua ndio mwanzo wa malumbano...
Nakutonya....

Mahusiano yenu mdogo mdoogo....yataanza kukumbwa na misukosuko, wasi wasi na kutoaminiana.
moyo wa imani katika ndoa utakuwa haupo tena na kuona umuhimu wako tena.....

JITU BANDIA... Dribbler 🏀
Siwezi kamwe kumficha Bi Khadija kwamba namzimia hata iweje
 
Akikuuliza swali kama hilo wakati mmeshagegedana sana, basi tambua anakutafutia sababu ya kuondoka kuhamisha kambi na sababu za msingi za kukuacha hakuna.
Sasa mbona wakijibiwa hawasepi? Wengi mnauliza sababu za wivu tu kutaka kujua hayo mauno mnayopewa ni wangapi walishayafaidi.

Na mnauliza mkiomba Mungu idadi isizidi moja hata kama ni kwa kudanganywa. Chezea papuchi wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom