Ni maneno gani matamu unaweza kumwambia mpenzi wako yakamfanya asisimuke na kukupenda?

Kikubwa kwenye hela anayokupa unaenda kuifanyia nini ?
Tujue itapendeza zaidi.
Kuna mmoja huku kawa specific mpenz wake anamuhudumia hela ya pombe.. penz linakua tamu kinoma.
Pesa ina matumizi mengi mkuu! I don't drink so itakua inaenda kwenye matumizi mengine ya kawaida tu ila lazima na yeye nimnunulie kizawadi kidogo hapo hata kachocolate tuu😉
 
Twende kwenye uhalisia..mfano labda anaumwa

Wewe mwambie bebe usijali utapona tu, Goodnight, i miss you

Halafu mi nimwambie Nakutumia 900k kwa ajili ya Dawa,matibabu, chakula na kinywaji fasta

Wewe unadhani atafurahia ipi
Haumwi na hana shida ya hela, tatizo mnadate mademu maskini na wa uswahili, vijana wa miaka hii mna shida sana
 
Kwa wale wataalamu wa maneno Hebu tusaidiane ni maneno Gani ukimwambia mtoto wa kike au kiume akiwa kama mpenzi yakamfanya moyo wake usisimke na kukupenda zaidi

Kama unayo hebu tupia maneno matamu ya kumsisimuaa mpz wako kiasi kwamba akasisimka na kukupenda hatari

Muwe mnaangalia "Porn" alaf unamtakia maneno matamu, Thank me later.
 
Back
Top Bottom