Ni mambo gani yanadhihirisha utayari wa mwanamke kuingia katika mahusiano ya ndoa/ mapenzi?

Mi nachokiona huyo mwanamke hamko katika same parameters za kimahaba. Wewe uko 100% yeye yuko 10% na nina hakika yuko hivyo pengine sababu hujafikia viwango vyake ama huelekei kuwa yule mwanaume wa ndoto zake.

Mwanamke akiwaka na wewe hawezi maliza siku hajakutafuta mzee. Anakuwa hana ubavu huo especially kama umeshatangaza nia na kukamata jimbo kupitia tiketi ya Chichiem.

Cha kukushauri we songa mbele kama injili. Hakupendi huyo mwanamke,,,ukibishana na nguli wa hio michezo shaulilako.
Legend kama Legend๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nani asiyependwa kupendwa hasa Upendo kama wa mleta mada wa festii pirioritiiii๐Ÿ˜œ
Sasa huo ndio upendo nilio nao kwako, yani we ni zaidi ya mswaki wangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kila asubuhi nitakubusu
 
Sasa huo ndio upendo nilio nao kwako, yani we ni zaidi ya mswaki wangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kila asubuhi nitakubusu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kubababekiii...mswakiii!!!๐Ÿ™„ Sitakiii..ungesema hata kojo la asubuhi๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kubababekiii...mswakiii!!!๐Ÿ™„ Sitakiii..ungesema hata kojo la asubuhi๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Hahahah kumbe wapenda lile kojo mama ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜...Be my guest
 
Mimi ninayempenda yuko dip kasema hajatulia kwa sasa, akili yake haijakaa tiyari. Kanitaka niwe na mpenzi wa kuruka naye kwa sasa muda sahihi ukifika tuoane, mwenyewe najua anaruka na mdau mmoja hivi.
 
Wanawake wako ivii " the worse you treat them the more they like you" wanawake wanapendaga mtu ambaye Ni don't care Yani, cio unakuw na demu unamuonesha kwamba unajaliii utaumiaa.
Nina afikiana na wewe kabisa ila naomba kukuuliza, hii ni kwa wanawake wote au?

*pia naomba wanawake watupe experience yao katika hii
 
Na nyie wanaume hamuelewekagi tangu watoto na hata mama zenu hawajawahi kufanikiwa kuwaelewa.
13782098_183746715373317_2676663512969112553_n.jpg
wakati unahangaika na asiekuwaza huku unampotezea anae kuwaza.
 
Back
Top Bottom