Ni Mambo Gani unaweza kusamehe au kutokusamehe?

We think we're protecting ourselves by not forgiving" . . . I can forgive, but I cannot forget . . . "
This is sometimes another way of saying " . . .I will not forgive
"

To err is human; to forgive, divine
The weak can never forgive. Forgiveness is the attribute of the strong

You're not forgiving them for their sake. You're doing it for yourself. For your own health and well-being, forgiveness is simply the most energy-efficient option. It frees you from the incredibly toxic, debilitating drain of holding a grudge.
Don't let these people live rent free in your head.

If they hurt you before, why let them keep doing it year after year in your mind?
 
Aliyebaka unamsamehe kwani @the endof day na wewe siunasikia laha baada ya abdallah kupata njia na wewe unamwongezea njia means umekubaliana na hilo huyo samehe kesho mkikutana mpe kihalali kwani huyo aliyekubaka alikuwa anakupenda ila njia ndo ilikuwa ngumu kuanza au na wewe ulikuwa unamdengulia akaamua kukatiza!!!!Na sidhambi kwani anakuwa amekurudisha katika enzi za mawe kwani ndo ilikuwa style hadi mpaka sasa makabila fulani wana endeleza mila!!:clap2:
 
KK usiharibu hali ya hewa tafadhali!Na wale wanaobaka watoto wadogo nao washukuriwe ehh?
 
Aliyebaka unamsamehe kwani @the endof day na wewe siunasikia laha baada ya abdallah kupata njia na wewe unamwongezea njia means umekubaliana na hilo huyo samehe kesho mkikutana mpe kihalali kwani huyo aliyekubaka alikuwa anakupenda ila njia ndo ilikuwa ngumu kuanza au na wewe ulikuwa unamdengulia akaamua kukatiza!!!!Na sidhambi kwani anakuwa amekurudisha katika enzi za mawe kwani ndo ilikuwa style hadi mpaka sasa makabila fulani wana endeleza mila!!:clap2:

KakaKiiza,

Tafadhali sana, waombe msamaha mama na dada zetu kwa hii post. Nadhani umechanganya mambo ya ngono za nataka sitaki na ubakaji. Ubakaji ni tendo ovu sana kuliko maovu yote anayoweza kufanyiwa mtu mwenye jinsia tofauti na yako na yangu. Please acha utani katika suala la ubakaji. Ni prime crime karibia na uuaji! Huwezi kulifanyia utani wa aina yoyote tendo hilo.

Sorry kama nimekukwanza ila mimi nimekwazika sana!
 
Msamaha! nirahisi kumsihi mwenzio asamehe, ila ni ngumu kusamehe toka moyoni.
 
Back
Top Bottom