Ni Mambo Gani unaweza kusamehe au kutokusamehe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Mambo Gani unaweza kusamehe au kutokusamehe?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lizzy, Feb 2, 2011.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuna watu hua wanaongelea msamaha as if ni neno tu bila matendo...yani unaomba tu kirahisi NISAMEHE na mimi najibu tu NIMEKUSAMEHE ilimradi umeomba na mimi nimejibu.
  Utasikia watu wakisema ohh hamna lisilosamehewa...mara samehe mara saba sabini...hivi ni rahisi kiasi hicho???
  Mtu anacheat over and over again...nae anastahili msamaha??
  Mtu amekuulia mwanao kwa makusudi...anaanzia wapi kukuambia samahani na wewe kumsamehe??
  Mtu aliyekubaka kwa kukusudia....unamwangalia vipi mpaka umpe huo msamaha!
  Kuna mambo mengi tu ambayo binafsi naona na ninaamini ni ngumu sana kusamehe kwakweli!Huwezi kuwambia mtu ohh samahani kwa kukubaka...naomba unisamehe na mimi nikasema okeyy yameisha au nikakataa ukaanza kunipa mistari ya biblia!!

  JAMANI HATUISHI KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO!!!...NA KAMA INGEKUA HIVYO KUSINGEKUA NA DHAMBI !!!

  Embu tuwe wakweli....unaweza kusamehe chochote kile??
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Lizzy umeonge ukweli ila hapo kwenye red and bold umemaanisha nini dear!!!
   
 3. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  msamaha upo na huonyeshwa kwa matendo lizzy, sio mdomoni wakati kila kunapokucha unarudia kumueleza mhusika makosa aliyokutendea believe me or not hakuna dawa nzuri ya amani na furaha kama kusamehe wengi waliokaa na chuki na visasi mioyoni huishia kwenye magonjwa na matatizo.

  naweza kusamehe jambo lolote kwa moyo mweupe bila kuendelea kumnanga aliyenikosea lucky me sababu najua kusamehe.:popcorn:
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Forgiveness is a gift you give yourself.
  Ni bora mtu usamehe sababu most of the times inakuumiza wewe kuliko yule ambaye haujamsamehe...
  Can I forgive anything??....., yes if she is sincere...., lakini I hate to be taken for granted.... If I know she does not mean it I will forgive her once and be aware that it will happen again... Not expecting the unexpected if you know what I mean..., I will learn to leave with that and accept her for whom she is...
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nimemaanisha mtu aliyeua mtoto wako au mtu wako yeyote wa karibu kwa kukusudia!
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mama Mchungaji darasa tunaendelea lini nimjulishe hashycool pia
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kweli mpendwa.
  Watu wengine wanaomba msamaha tu lakini moyo na matendo yao hayabadiliki.
  Mambo ya kusamehe 7 mara 70 wengine yatatushnda.
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kuna watu wengine wanafanya vitu makusudi wakijua tu wkiomba msamaha basi watasamehewa
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160

  Aisee???!!!! Kuua??? Hiyo ngumu lakini?? Mie ndo maana nikauliza maana nilikuwa sijaelewa nilidhani umemaanisha kutoa mimba. Ok ok thanks
   
 10. R

  Rubuye123 JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,443
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  we!yani moyo umepiga kwa nguvu hadi meza ya jirani hapa wameshtuka,kweli my four months old handsome baby boy,full of life, afu i should let it go kwa 'am very sory' tu!?Mungu pishia mbali,mi siwezi bana.kwanza ngoja niulize huko home kama kako powa!mambo mengine magumu sana!
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  VoR what if the person is not sincere!Na kama kweli watu wana roho za kusamehe kama mnavyodai KWANINI VIBAKA WANACHOMWA MOTO?KWANI WAUAJI WANYONGWA AU KUFUNGWA MAISHA?KWANINI WABAKAJI WANAFUNGWA?Waliotendewa hayo kwanini wasisamehe bila kwenda kushtaki maana jela zimejaa na nyie mnasema makosa yote yanasameheka?Iweje kwa waliopo jela au waliouwawa ishindikane?
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  It will hurt you more if you dont..... kuna hii Serenity Prayer inaanza hivi..

  God, grant me the serenity to accept the things I cannot change, Courage to change the things I can, And wisdom to know the difference

  Depends kama mtu amekubaka au ameua ndugu yako huyo mtu ni menace to society inabidi ukae nae mbali na jamii ikae nae mbali because someone who abuse others he does not belong to a community..., kumsamehe rohoni does not mean you will welcome him to your house.., just keep a distance

  Now misamaha mingine if you know for sure kwamba huyu mtu atarudia tena..., dont give him a chance ya yeye kukutenda..., ila dont put a grudge kwenye roho yako..., it will consume you more
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Finest embu nisaidie..we unaweza?
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuua live mpenzi!Wanaodai wanaweza nadhani tutakua tunadanganyana tu kwasababu haijatokea!
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Pole kwa kukushtua!
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mie muiraqw nitakuua na wewe na mimi pia. Uue mwanangu Mungu wangu hebu ngoja niwacheki watoto wangu home dah umenishitua mie kwa hilo dear siwezi kusamehe milele.
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hapo Lizzy wabakaji, wauwaji they are menace to Society kwahiyo they should be kept far away from community ili wasiwadhuru wengine..., I Dont Believe in Killing People Who Kill People.... Because thats makes us Killers as well..., lakini kifungo cha maisha its okay..., sio kuwakomoa tu bali kulinda Jamii...,

  Now if you dont let go..., forgive... it will consume you my dear....., if one of your child is gone hili janga might change you and you might not be able to love the remaining children perfectly..., "An Eye for an Eye will make the all world Blind" ..... Gandhi.
   
 18. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  usisahau kitu kimoja ubaya una mwisho finest utamsamehe huku akiendelea na mizaha yake but you know what kuna siku atalipa ujira kwa kazi anayokufanyia kwa njia yoyote ambayo wewe hautahusika.embu jiulize ukiishi miaka 50 na vinyongo au kutoa wiki moja ukasamehe maisha yakaendelea,maisha nani atakuwa anaumia?

   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kuna ishu zingine bana kusamehe ni kama vile kimeo imagine mwanamke anayepigwa na mumewe kila siku hapo unaweza kuwa unasema unamsamehe mtu mumeo .

  Ubakwe halafu useme usamehe?? Tatizo ni yale makovu yanayokuwa ndani imagine kila siku unakutana na huyo mbakaji wako how would you feel?? Hapo sidhani kama msamaha utafanya kazi
   
 20. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145

  Mh! Basi mshukuru sana mungu maana you are gifted.
   
Loading...